Umewahi kusafiri masaa mangapi na ndege


Fragaria

Fragaria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
537
Likes
1,676
Points
180
Fragaria

Fragaria

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2019
537 1,676 180
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndege hiyo balaa inakutoa Africa inakupeleka Asia kisha inakupeleka ulaya kisha Australia duh! kwenye mabasi kuna kamsemo chetu cha kufaulishwa na kwenye ndege kapo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€ nadhani hakapo
 
espy

espy

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
51,359
Likes
63,674
Points
280
espy

espy

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
51,359 63,674 280
Sijawahi kupanda ndege kwakweli.
 
Pompey

Pompey

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Messages
293
Likes
153
Points
60
Pompey

Pompey

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2013
293 153 60
Wanasema eti asilimia 2 tu ya watu wote duniani ndiyo wame/wanatumia usafiri wa ndege", hili tangazo nililisoma pale JKNIA,, nikiwa nimekaa vile viti vya pale nje..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sicolate

Sicolate

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Messages
202
Likes
214
Points
60
Sicolate

Sicolate

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2018
202 214 60
11 hours!!1. From dar to Ethiopia 3 hours
2.Ethiopia to shanghai 11 hours,direct flight via Dubai


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Messages
1,324
Likes
1,049
Points
280
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2010
1,324 1,049 280
Nilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa za Australia!
Jo'burg-Sydney, hiyo route si chini ya masaa 15 jombaa
 
mfianchi

mfianchi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
8,827
Likes
2,375
Points
280
mfianchi

mfianchi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
8,827 2,375 280
Dar,Amsterdam,New York,Houston Texas makalio yote yanakufa ganzi,ingine Bongo,Bole Ethiopia,Bangkok,Ghuanzou ,ukifika masaa yanakuchanganya,hujui umeondoka lini,Marekani majimbo mengi yana muda wake,wakati wa majira kama haya saa kumi jioni tayari usiku na wakati wa kiangazi saa mbili usiku bado jioni na jua juu.Ama kweli tembea uone na ujifunze,
 

Forum statistics

Threads 1,251,651
Members 481,811
Posts 29,778,891