Umewahi kupigwa na mkeo au mwanamke?

Umewahi kupigwa na mkeo au mwanamke?

Tobaaaa! Umezini na mtumishi wa Mungu? Mama mchungaji???[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Mama mchungaji hana haki ya kuzagamuliwa?
 
Imelda alikua Monitress alinichapa kibao darasani eti nafanya fujo(nilikua mtundu kwelikweli) sikuwahi kumsemesha wala kua na mazoea nae tena.
Tukiwa form 4 akaingia mkenge mwenyewe akanianbia ananipenda sana nikamkubalia. My wangu,mume,mpenzi nyingiiiii kumbe mm namchora tu.
Nilimpa kibuti kimoja tu ili kulipiza kile kibao akakoma

Ila Kuna huyu Zu alitwangana na kaka yake ajili yangu kisa alinikuta nae usiku akataka kuniletea noma. Yule demu ni nooma alikua anapiga unyeke (roba) balaa
Huyo demu alifanikiwa kumpiga huyo kaka yake, au ndio alidhibitiwa?
 
Shule ya msingi darasa la pili enzi za kuweka kioo chini ya dawati unaangalia vya watu. So siku moja nikaweka kioo kwa mdada mmoja anaitwa Bahati ( alikuwa mkubwa kidogo mana si tulisoma wakubwa) akakinyaga kakivunja mwanaume nikavimba mdada akasimama tukazichapa sasa mistake kubwa nikamruhusu ngumi zakunigana akanishika. Duh! Nilichezea kucha na meno mengi sana nikanyooka nikaanza kulia.
 
Kwahiyo mkuu uliomba poo kwa mdada😂😂
 
Wewe sio mwanaume, bila aibu ukapigwa? Yaani ungekuwa mwanangu ningekuongeza kipigo na nisingekushirikisha tena issue zangu, ungeshinda na mama yako jikoni.
 
Katika maisha lolote linaweza kukutokea sema wengi huwa tunaficha ukweli hatutaki kukubali udhaifu ila ukikuwa tutaongea lugha moja
 
Mwanaume rijali unayesimamisha Barabara bila vumbi la Congo wala Alkasusu unaanzaje KUPIGANA/KUMPIGA MWANAMKE, huo ni Udhaifu mkubwa sana,

Wanawake sie midomo mingi twajulikana lakini Mwanaume wakujitambua hawezi poteza muda kujibizana na mkewe zaidi atamkamata na kumpa show kali (na hii hua tamu kweli), mkimaliza hapo mnasahau yote, maisha yaendelea.
Iww udhaifu au isiwe udhaifu, akikosea kiasi cha kustahili kupigwa, atapigwa tu. Case closed and no discussion.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom