Umewahi kupigwa na mkeo au mwanamke?

Shule ya msingi darasa la pili enzi za kuweka kioo chini ya dawati unaangalia vya watu. So siku moja nikaweka kioo kwa mdada mmoja anaitwa Bahati ( alikuwa mkubwa kidogo mana si tulisoma wakubwa) akakinyaga kakivunja mwanaume nikavimba mdada akasimama tukazichapa sasa mistake kubwa nikamruhusu ngumi zakunigana akanishika. Duh! Nilichezea kucha na meno mengi sana nikanyooka nikaanza kulia.
Wewe tunakuondoa rasmi kwenye kundi la Wanaume rijali.
 
Mwanaume rijali unayesimamisha Barabara bila vumbi la Congo wala Alkasusu unaanzaje KUPIGANA/KUMPIGA MWANAMKE, huo ni Udhaifu mkubwa sana,

Wanawake sie midomo mingi twajulikana lakini Mwanaume wakujitambua hawezi poteza muda kujibizana na mkewe zaidi atamkamata na kumpa show kali (na hii hua tamu kweli), mkimaliza hapo mnasahau yote, maisha yaendelea.
Au siyo??.
 
Sijawahi pigwa na mwanamke na mwanamke yeyote atakaye leta ujinga mimi napiga tena vizuri tu haiwezekani mwenda wazimu mmoja atie maisha yangu hatarini, yaani ukinigusa wewe jua nafumua sijali jinsia yako
Ngoja siku ufikishwe dawati la Jinsia ...

Wale askari mara nyingi wanakuwaga wanawake

Yaani wanakupiga vibao hatari ,
Na unaona ni wanawake na hauna la kuwafanya..
 
Mimi nimetembezea sana wanaume kibano nikiwa msingi nilikuwa naogopeka sikuhizi nimekuwa nyororo Sina nguvu kabisa
 
Wanaopigwa ni malofa sio mimi, kwa nini wanatetea upande mmoja?? Nishapelekwa zaidi ya mara 4 na sijawahi pigwa makofi, sijui wanaangalia sura? Yaani sitojali namtoboa mtu walahi, kichwa changu ni kibovu sana mzee!
 
Basi Shukuru Mungu na Ujitahidi kuwa raia mwema Tii sheria Bila shuruti na Usijivunie hilo...

Kuna siku utaingia mazingira ambayo utapigwa na hautakuwa na la kufanya
 
Nitaingiaje wakati mimi ni raia mwema? Halafu sijajisifia nimeongea tu ukweli. Mimi napenda kuheshimu pia napenda kuheshimiwa. Akizingua na kutaka kunipiga basi hapo lazima nimuwashie moto. Hili naongea na NGO's zote kama zipo humu basi zisikie, silei ujinga.
 
Sasa kama ni raia mwema dawati la jinsia ulifikaje mara nne tofauti??
 
Ngoja siku ufikishwe dawati la Jinsia ...

Wale askari mara nyingi wanakuwaga wanawake

Yaani wanakupiga vibao hatari ,
Na unaona ni wanawake na hauna la kuwafanya..
Kwa maneno yako unakiri dawati la Jinsia lina upendeleo? Endapo ukiona hujapata haki yako dawati la jinsia una uwezo wa kwenda mahakamani?
 
Sasa kama ni raia mwema dawati la jinsia ulifikaje mara nne tofauti??
Yes ni raia mwema, nafikiri unafahamu kuwa kuna kumkosea mtu na kuikosea Jamhuri, mimi ni raia mwema kwa sababu sikuvunja sheria ya Jamhuri, ila nilimnyoosha mtu ambaye alinikorofisha, yaani tukamalizana kimya kimya tu. Mpaka muda huu tunaheshimiana sana, na nikuambie tu hizo mara nne zote nilishinda na kuonekana sikuwa na kosa, au sijui kwa sababu sikuwakuta askari wanawake????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumpiga Mwanamke mara moja ....kumpiga Mwanamke ni kujitafutia matatizo ...wanawake wana asili ya vita na viroho papo..utaharibikiwa

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Acha kunitisha, ni mke wangu na maandiko matakatifu yameshaagiza watutii, mbaya zaidi natimiza majukumu yote kama mwanaume, sasa kwa nini alete ujinga? Yaani kupiga siachi, hiyo vita na ije. Nimeanza kupiga zamani sana mpaka leo hiyo vita ya kiroho haijafika tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimetembezea sana wanaume kibano nikiwa msingi nilikuwa naogopeka sikuhizi nimekuwa nyororo Sina nguvu kabisa

Wakati huo mbususu ilikuwa mnato ndio maana ulikuwa na nguvu, mbususu ikiliwa hupunguza nguvu na ubabe.

Lunatic
 
Mwanaume rijali unayesimamisha Barabara bila vumbi la Congo wala Alkasusu unaanzaje KUPIGANA/KUMPIGA MWANAMKE, huo ni Udhaifu mkubwa sana,

Wanawake sie midomo mingi twajulikana lakini Mwanaume wakujitambua hawezi poteza muda kujibizana na mkewe zaidi atamkamata na kumpa show kali (na hii hua tamu kweli), mkimaliza hapo mnasahau yote, maisha yaendelea.

Kuna kademu nilikipiga goli 3 akaniuliza yupo mwengine nikamwita chali akapiga bao 1 kademu kakauliza hakuna mwengine wakaja machali 3 wakampelekea moto. Kumaliza akauliza tena kuna wengine mama…e zake yule tulimtimua kwa mangumi.

Lunatic
 
Back
Top Bottom