Umewahi kupigwa na mkeo au mwanamke?

Umewahi kupigwa na mkeo au mwanamke?

Primary nilikuwa na shida kwenye kuhimili hasira. Na wavulana wawili waliwahi kuzipata.
Sekondari nilimpiga makofi kibaka alitaka kuniibia simu.
Kurudi home naeleza namna nilivyomnyoosha kibaka mzee alinimind sana akasema nisije nikapiga mume baadaye.
Sijagusa mtu tangu nyakati hizo.
Na siwezi jaribu kabisa kwa mume maana alikuwa anabeba vyuma na ana mwili mkubwa kuliko mimi.
 
Wakati huo mbususu ilikuwa mnato ndio maana ulikuwa na nguvu, mbususu ikiliwa hupunguza nguvu na ubabe.[emoji23][emoji23]

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani bana tangu nipate operation flani hivi mwilini basi mwili huwa hauna nguvu hata kubeba ndoo siwezi viungo havina nguvu, bila hivo had mume angekula kichapo heavyweight
 
kuna siku nilimpa mtu kibao kimoja matata
jicho aliloniangalia nilijifungia washroom almost lisaa lizima

ila tu alikuwa mstaarabu akanirudishia kwa njia nyingine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani bana tangu nipate operation flani hivi mwilini basi mwili huwa hauna nguvu hata kubeba ndoo siwezi viungo havina nguvu, bila hivo had mume angekula kichapo heavyweight

Pole sana
 
Jamaa yawezkana ulikuwa unachezea kichapo ila ukawa unajifarij kuwa hujawah kupigwaa.....ila yaliyokukuta hukuwa na namna zaid ya kutuelezea ili upate relief...polee sanaa mkuu
 
Mwanaume rijali unayesimamisha Barabara bila vumbi la Congo wala Alkasusu unaanzaje KUPIGANA/KUMPIGA MWANAMKE, huo ni Udhaifu mkubwa sana,

Wanawake sie midomo mingi twajulikana lakini Mwanaume wakujitambua hawezi poteza muda kujibizana na mkewe zaidi atamkamata na kumpa show kali (na hii hua tamu kweli), mkimaliza hapo mnasahau yote, maisha yaendelea.

Inamsahaulisha anabaki anachekacheka tuu
 
Primary nilikuwa na shida kwenye kuhimili hasira. Na wavulana wawili waliwahi kuzipata.
Sekondari nilimpiga makofi kibaka alitaka kuniibia simu.
Kurudi home naeleza namna nilivyomnyoosha kibaka mzee alinimind sana akasema nisije nikapiga mume baadaye.
Sijagusa mtu tangu nyakati hizo.
Na siwezi jaribu kabisa kwa mume maana alikuwa anabeba vyuma na ana mwili mkubwa kuliko mimi.
Hata angekuwa na mwili mdogo usingeweza
 
Atokee mmoja nikamnyage Kofi mie
 
Ndio sijui ilikuwaje, jamaa inaonekana alikuwa dhaifu dhaifu kweli[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni uchungu, itakuwa wapo wengi ila hawasemi tu mpaka watangazwe kama kanumba ndo tujue tusidanganyane humu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom