Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
- Thread starter
- #41
Nimeshakua, acheni kula chips na soda nyie wanaume wa DSM, mnawaaibisha wenzenu. Halafu mkipigwa mnakimbilia kuficha, kwa nini sasa mnaficha? Fungukeni tuwajue dhaifu wakubwa nyie.Katika maisha lolote linaweza kukutokea sema wengi huwa tunaficha ukweli hatutaki kukubali udhaifu ila ukikuwa tutaongea lugha moja