Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
Salaam binafsi sijawahi kupigwa na msichana achilia mbali demu wangu, je, katika maisha yako imewahi kukutokea ukapigwa na msichana katika ugomvi? Ilikuwaje?
Funguka japokuwa ni aibu!
Funguka japokuwa ni aibu!