Umewahi kupigana kwa ajili mpenzi?

Umewahi kupigana kwa ajili mpenzi?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Hivi katika maisha yako ya kupenda umewahi kuzichapa kwa ajili ya kugombea,kutetea penzi lako ,kuzuia mpenzi wako asichukuliwe au kumzuia na kumpiga anaemufuata fuata mpenzi wako.

Yote tisa kumi ulipiga au ulipigwa :A S wink: Nisipokuona nalia ukiwa huwa raha sina mgonjwa nakua !
 
God forbid , for Mbwai? Haijawahi na ninaomba mungu isitokee.
 
Penzi kama biskuti vile, huna haja ya kutumia msuli...
 
Upigane kwa hawa wapenzi micharuko?Utapigana na wangapi?
 
Never have and never will.

Love is a voluntary thing.

So why fight for it?

Under the circumstance described above, I will never put my paws on anyone and I'm more than willing to look like a fool and walk away if confronted.
 
Hivi katika maisha yako ya kupenda umewahi kuzichapa kwa ajili ya kugombea,kutetea penzi lako ,kuzuia mpenzi wako asichukuliwe au kumzuia na kumpiga anaemufuata fuata mpenzi wako.

Yote tisa kumi ulipiga au ulipigwa :A S wink: Nisipokuona nalia ukiwa huwa raha sina mgonjwa nakua !

Wewe una akili kweli?
 
Never have and never will.

Love is a voluntary thing.

So why fight for it?

Under the circumstance described above, I will never put my paws on anyone and I'm more than willing to look like a fool and walk away if confronted.

Have you ever beat a woman?
 
Sitokuja kupigana kwa ajili ya mapenzi, labda huwa napigana na moyo na hisia zangu, Yani I can let him go bila kujali nimeinvest kiasi gani cha penzi kwake...ila kupigana....?!!!! Never....
 
Labda awe ameshuka mwanamme tofauti na hawa wa duniani. Pride wouldn't let me.
 
Sasa anayepigana nani kama wote ni NEVER?
Mimi mwenyewe nashangaa wakati kila siku mitaan watu wanapigana kisa mapenzi au wa humu sio wa mitaan JF bwana wote humu ni watakatifu,wenye maisha mazuri na wenye kazi zao
 
Back
Top Bottom