ha ha ha... hamna u great thinker wowote, mbona wengi tunaandika pumba mda mwingi kuliko tunavyoandika mambo ya msingi...! teh...nisshushiwe kipondo tu..lolHa ha ha ha ha..... wanaopigana hawapo hum.. si unajua humu wapo great thinkers??
Kiongozi, hii inaitwa ONLINE PRIDE, kisa hatujuani basi vitu hasi havituhusu..lakini haya mambo yanatokea sana, tena sio huku uswazi tu, hata huko kwa akina nanihii....!Mimi mwenyewe nashangaa wakati kila siku mitaan watu wanapigana kisa mapenzi au wa humu sio wa mitaan JF bwana wote humu ni watakatifu,wenye maisha mazuri na wenye kazi zao
Hivi katika maisha yako ya kupenda umewahi kuzichapa kwa ajili ya kugombea,kutetea penzi lako ,kuzuia mpenzi wako asichukuliwe au kumzuia na kumpiga anaemufuata fuata mpenzi wako.
Yote tisa kumi ulipiga au ulipigwa :A S wink: Nisipokuona nalia ukiwa huwa raha sina mgonjwa nakua !
daah, sikuwah kufanya hivyo ila niliwahi kumuona mpnz wang kakaaa na jamaa pemben ya majani hall 3, nilivurumisha mawe nikakimbia na mpaka leo hawajui nani aliwafumua mawe
Hivi katika maisha yako ya
kupenda umewahi kuzichapa kwa ajili ya kugombea,kutetea penzi lako
,kuzuia mpenzi wako asichukuliwe au kumzuia na kumpiga anaemufuata fuata
mpenzi wako.
Yote tisa kumi ulipiga au ulipigwa :A S wink: Nisipokuona nalia ukiwa
huwa raha sina mgonjwa nakua !
sija na sitafanya kamwe......
Hayajakukuta....
na siyataki.......na kamwe!
kam haitoshi, yashindwe na yalegeeTena kemea kwa jina la Yesu yapite mbali....
Tena kemea kwa jina la Yesu yapite mbali....
sijawahi ila kuna siku nilimuona mpnz wangu kakaa hall 3 kwe majan na jamaa nikawashambulia kwa mawe japo hawajanijua mpaka leo!!!
sijawahi kupigana
sijawahi kum confront mwanamke mwenzangu kisa mapenzi
sitawahi..
sababu sina
nia sina
na uwezo sina vile vile
kupigana nawaachia mabondia wa ngumi za kulipwa...amen