hamjui tu huwa ni faraja sana kwa wazazi wenu,kuliko kuwa kimyaaa au story kuwa kinyume chake.
binafsi kuna demu alikuja kuishi home,yeye alikuwa anasomea chuo cha ualimu,mimi nikiwa form two b kipindi hicho.huyu dada yeye alikuwa ni mpwa wa mama yangu wa kambo,ni mmeru mtoto mmoja mzuri si kawaida.alikuwa akija home kipindi wamefunga chuo,anakutana na mnyabi namimi shule imefungwa.
basi siku moja ikawa kama bahati mbaya tu,tumekaa kwenye kochi tunaangalia tv amelala kichwa kakiweka kwenye paja langu,nimemshika nywele,ghafla faza akaingia akitokea kazini akakuta ile situation akakausha akapitiliza chumbani,tuakaa vizuri.
tetesi za chini chini zikaanza kwamba tunapashana,ila shahidi ni faza bimkubwa hataki maana anaamini tumeachana umri siwezi,isitoshe dogo anajiheshimu sana,basi siku moja,
asubuhi nikaamka naumwa kabisaa nikaomba kutokwenda kokote niende hospitali,kulikuwa na trip ya kwenda shamba somewhere,huyu dada nayeye bila kujua kumbe kaomba udhuru kwa bimkubwa tokea jana yake usiku kwamba siku hiyo anaomba abaki kuna mishe za chuoni kwao apitie
.hapa ndio bimkubwa akili ikamkaa sawa,kwamba kuna mchezo unachezwa,kumbe hata wahusika hatujui kama tunabaki wawili home siku hiyo.mimi nikaenda zangu hospital nikatibiwa nikarudi nakuta demu yupo home
,aisee homa ikakata jamaa yangu.
faza anarudi saa saba naona jicho analoniangalia sio kabisaa,maza nayeye karudi hana amani kabisa anajua tumetoana hamu vilivyo,but kiukweli sikufanya chochote.ila baada ya lile tukio niliona mzee ameongeza sana utani na mimi,na bimkubwa akawa ananitania sana pia.
Sent using
Jamii Forums mobile app