Umewahi kufikiri kuhusu usalama wa watoto wako kijinsia?

Masheikh madrassa wanawaharibu Sana mabinti wa kiislamu,samahani lakini
Weka shuhuda na link ya madai yako kama ifuatavyo hapa chini, otherwise ni mafudisho bubu na chuki mlizomezeshwa kanisani.

“Nilikuwa na miaka 7 au 8 kipindi hicho. Nilikuwa rafiki wa mchungaji. Siku moja mchungaji akanambia njoo ukae nami tusome pamoja. Kisha tulivyokaa pamoja, mara yakafuata mabusu…kisha yakafuta matendo mengine ya kimwili…mambo yakazidi kuchanganya…Niliogopa kuwaeleza wazazi wangu matukio hayo kwa kuwa mchungaji alinambia nikiwaeleza wazazi wangu sitokuwa kama malaika ktk ufalme wa mbinguni”

“Kila uingiapo kanisani lazima niseme Kosa ni langu miekosa ni langu miekosa ni langu mie peke. Hapana, kosa halikuwa langu!

“Utoto sasa umeniondoka. Kama kanisa halitozungumza lugha yangu, siwezi kuendelea kuwa muumini. (Viongozo) wanasimama na kuongea lugha ya mamia ya miaka iliyopita. Lazima wasikilize hisia za watu, wasikilize kile watu wanachotaka. Wanapaswa waongee lugha ya sasa (kutolinda vitendo viovu vya unyanyasaji wa kingono)”

Huyo ni Brigitte, a survivor of child sex abuse by a chaplain, explains why she is ready to speak now

Video yake hii hapa toka BBC
 
sidhani ni issue ya DINI IPI!
msihamishe mada tafadhali!
MISIKITINI NA MAKANISANI watoto WANAHARIBIWA!
UMEPATA MFANO WA KANISANI!
doesn't mean HAIPO YA MIKITINI!
tafadhali isituhamishe kiini cha mada!

''WATOTO WAPO HATARINI''
 
Masheikh madrassa wanawaharibu Sana mabinti wa kiislamu,samahani lakini
Mzee mwanaume aelezea makasisi walivyokuwa wakiwafanyia vitendo vya ngono. Anasema yeye alifanywa kama mtumwa wa sex. Ktk dkk ya 4:20-4:50 aelezea namna Kanisa lilivyoficha vitendo hivyo chini ya kapeti kwa miaka mingi na huku vikitokea nchi mbalimbali duniani. Kitu ambacho kilimpelekea kupoeza imani yake ya dini.

Kwa sasa sijataka kuwaeleza makubwa sana, nawaeleza tu yale ya msingi kama Mwalimu akikwambia muende kwake pekeyako usikubali, usipokee kitu chochote iwe ni pipi wala biskuti kwa mtu yoyote tofauti na kutoka kwangu na kwa mama yenu, mtu asikushike mkono,hata kama unamjua na mwisho hakuna kuvua kumuonesha mtu dudu yako,hata kama ni anko,shangazi baba mdogo au baba mkuba au mtu yoyote yule,akikwambia hicho njoo unambie.

Nashukuru huwa wananibia kila kitu wakitoka shule na mama yao maramoja moja huwa anawaosha na kuwakagua ili kujua kama kuna shida kwenye via vyao na huko nyuma. Siku hizi kulea ni tabu sana.
Hujaeleza ujinga Mkuu!
Umetupa suluhisho mojawapo kati ya mengi tunayoweza kufanya!
LAKINI PIA .
ongea nao!
wajue kabisa! KIPI NI KIPI NA KIPI SIO KIPI KIASI WAWEZE KUWA ALERTED!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada imenikumbushia miaka 4 iliopita, siku nlivyomla tigo ndugu yangu wa kike, (mtoto wa baba mkubwa) kipindi alipokuwa anakaa nyumbani kwetu..huyo mtoto wa kike alikuwa anasoma form 4..

NB: Sikuwa na nia ya kumtongoza, ila alijileta yeye mwenyewe/alinitega na kujirahisisha kwangu..sasa na mm sikuwa na namna ningefanyeje Mzigua90
Hata kusoma tu hii habari yako mtu anakasirika, shame shame!!!
 
Kwa sasa sijataka kuwaeleza makubwa sana, nawaeleza tu yale ya msingi kama Mwalimu akikwambia muende kwake pekeyako usikubali, usipokee kitu chochote iwe ni pipi wala biskuti kwa mtu yoyote tofauti na kutoka kwangu na kwa mama yenu, mtu asikushike mkono,hata kama unamjua na mwisho hakuna kuvua kumuonesha mtu dudu yako,hata kama ni anko,shangazi baba mdogo au baba mkuba au mtu yoyote yule,akikwambia hicho njoo unambie.

Nashukuru huwa wananibia kila kitu wakitoka shule na mama yao maramoja moja huwa anawaosha na kuwakagua ili kujua kama kuna shida kwenye via vyao na huko nyuma. Siku hizi kulea ni tabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Barikiwa kwa kweli!
wewe na mama!
 
Mwanangu nimempa somo sana wakati nampeleka boarding nikiona nyuzi kama hizi moyo unaniuma sana.

Mambo mengine tunamwachia Mungu tu
 
Mzee mwanaume aelezea makasisi walivyokuwa wakiwafanyia vitendo vya ngono. Anasema yeye alifanywa kama mtumwa wa sex. Ktk dkk ya 4:20-4:50 aelezea namna Kanisa lilivyoficha vitendo hivyo chini ya kapeti kwa miaka mingi na huku vikitokea nchi mbalimbali duniani. Kitu ambacho kilimpelekea kupoeza imani yake ya dini.

sawa.
Mbona tumeshakubali hilo eneo!
Tunafanya nini sasa ili miaka 50 ijayo tusiwe au tupunguze wazee wenye hizi kumbukizi za utoto wao ulikatiliwa
 
Yaani usipokuwa karibu na mtoto hawez kukuambia kama anafanyiwa vibaya, ni vizuri tukawa marafiki na watoto zetu na tusiwe tunawagombeza kwa kuwatisha.cheza na mtoto, cheza nao michezo yao ya kitoto hata nusu saa kila cku then kaa nao wasikilize, ukifanya hivi lazima wakifanyiwa vibaya watakwambia, lakini wewe ukirudi home watoto wanakukimbia badala ya kukukimbilia, my babies are friend.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sidhani ni issue ya DINI IPI!
msihamishe mada tafadhali!
MISIKITINI NA MAKANISANI watoto WANAHARIBIWA!
UMEPATA MFANO WA KANISANI!
doesn't mean HAIPO YA MIKITINI!
tafadhali isituhamishe kiini cha mada!

''WATOTO WAPO HATARINI''
Sio mfano wa kanisa, ni maelfu ya shuhuda wapo na kwa sasa ni janga la dunia. Huyo mwenzio alipoegemeza mada kwa mashehe ulikaa kimya (double standards)

Catholic Church ‘Covered Up’ Sexual Abuse Of ‘More Than 1,000 Children’ In Pennsylvania
Catholic Church ‘Covered Up’ Sexual Abuse Of ‘More Than 1,000 Children’ In Pennsylvania
BY : CHARLIE COCKSEDGE
17.6kSHARES
catholicchurchPA.jpg
PA
Over a period of 70 years, bishops and other leaders of the Roman Catholic Church in Pennsylvania covered up sexual abuse by more than 300 priests, according to a Grand Jury report.
The report, which was published on Tuesday (August 14), reveals the appalling number of crimes and the shocking cover-ups that went with them.
It covered six of Pennsylvania’s eight Catholic dioceses, and found more than 1,000 identifiable victims. It is the broadest examination so far by a government agency in the US into the sexual abuse of children by the clergy of the Catholic Church.
Theodore_Cardinal_McCarrick.jpg
Wikimedia Commons/Andy Mettler
The report also suggests there could be thousands more victims whose records were lost or who did not come forward out of fear.
The Catholic Church in America has been plagued by sexual abuse scandals for more than 15 years, especially since the allegations uncovered by the Boston Globe in 2002. However, these latest revelations mean the scandal has reached the church’s highest ranks.
The new report comes not long after the resignation of Cardinal Theodore E. McCarrick, the former archbishop of Washington, who was accused of sexually abusing young priests, as well as children, the New York Times reports.
The report details disturbing instances of abuse of children by priests and other members of the church, including a priest who was allowed to stay in the ministry after getting a young girl pregnant and arranging for her to have an abortion.
 
Yaani usipokuwa karibu na mtoto hawez kukuambia kama anafanyiwa vibaya, ni vizuri tukawa marafiki na watoto zetu na tusiwe tunawagombeza kwa kuwatisha.cheza na mtoto, cheza nao michezo yao ya kitoto hata nusu saa kila cku then kaa nao wasikilize, ukifanya hivi lazima wakifanyiwa vibaya watakwambia, lakini wewe ukirudi home watoto wanakukimbia badala ya kukukimbilia, my babies are friend.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah!
Ni motto mwenyewe tu ndo amebaki kuwa eneo salama!
 
Kwa sasa sijataka kuwaeleza makubwa sana, nawaeleza tu yale ya msingi kama Mwalimu akikwambia muende kwake pekeyako usikubali, usipokee kitu chochote iwe ni pipi wala biskuti kwa mtu yoyote tofauti na kutoka kwangu na kwa mama yenu, mtu asikushike mkono,hata kama unamjua na mwisho hakuna kuvua kumuonesha mtu dudu yako,hata kama ni anko,shangazi baba mdogo au baba mkuba au mtu yoyote yule,akikwambia hicho njoo unambie.

Nashukuru huwa wananibia kila kitu wakitoka shule na mama yao maramoja moja huwa anawaosha na kuwakagua ili kujua kama kuna shida kwenye via vyao na huko nyuma. Siku hizi kulea ni tabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hali imekuwa tete mkuu, haya ndio mambo ya kujifunza kwa kweli. Malezi ya watoto wetu liwe jukumu letu namba moja, of course lazima tutafute pesa kwa ajili ya kuwalea na kuwatunza, lakini ni muhimu sana wazazi kuzingatia malezi, ukishaingia kwenye uzazi, commit yourself to your kids.
 
Ni hatari sana, popote walipo hawapo salama....!!

Ukifuatilia interviews kadhaa zilizofanywa kwa hawa mashoga, utakunaliana kabisa kuwa baba mdogo, baba mkubwa, anko au ndugu yeyote uliyemuamini ndio waharibifu wa watoto wetu,wawe wa kike au wa kiume.
Nimetoa mfano wa mashoga kwa vile hakuna kitu inauma ukisikia mwanao wa kiume ni shoga....!!!! Sija ignore jinsia ya ke.

Baada ya tafakari ya kutosha na mke wangu,pamoja na mambo mengine,tuliamua kuhama mjini na kurudi kijijini moja wapo ya sababu ni kwamba kijijini watakuwa salama zaidi na watasoma,maana hata mama atakuwa na utulivu zaidi na maendeleo yao yapo vizuri.

Lakini pia nakuwa makini sana na wageni wa kiume wanaokuja kwangu,kama ni mwanaume huwa nawapa vyumba vya nje,hy haijalishi na huwa nawaambia kuwa huku mtakuwa huru zaidi. Na mtoto huwa ni marufuku kuingia chumba hicho cha mgeni,na nashukuru mama huwa ni mkali sana kwa hilo.

Lakini pia baada ya siku mbili au tatu mgeni huyo huwa mama au mimi tunamuomba kikao, aseme shida yake ili atekelezewe mapema arudi kwao akajenge familia yake na taifa kwa ujumla, hakuna kumaliza mwezi hapa kwangu.

Shuleni kwa upande wa vijijini kuna angalau nafuu tofauti na mjini,maana wanaondoka kwa makundi wanapitiana na sio mbali,walimu hawana shida sana na kwa vile ni mji mdogo,lolote mwalimu akifanya lianjulikana mapema sana. Tatizo huku ni mboko tu....wanachapa sana na mie watoto wakija kushitaki nauliza ulifanya nini ndio akuchapa? Akinijibu namwambia usifanye tena ilo kosa.

Anyway,nimeleta ka story haka angalau huenda kunajambo la kujifunza unaweza pata. Mie mjini niliona kabisa siwezi kuwalea maana sio siri mjini hakuna mda hata kidogo wa kusema mtoto atakuwa salama,mazingiza yoyote pale kwake ni hatari tupu...!!!

Samahani kwa kueleza ujinga wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mara mia mjini kuliko huko kijijini,,binafsi nlikuwa na kazi ya miez kadhaa kijiji flani huko Dom asee watoto wadogo wadogo wanagongeka sanaaa kuanzia shulen na walimu na wanafunz wenzao mpk mtaani,, kuna dogo wa darasa la 6 alipata mimba na akajifungua salama kbs,, nlishangaa sna aseee
 
Sio mfano wa kanisa, ni maelfu ya shuhuda wapo na kwa sasa ni janga la dunia. Huyo mwenzio alipoegemeza mada kwa mashehe ulikaa kimya (double standards)

Catholic Church ‘Covered Up’ Sexual Abuse Of ‘More Than 1,000 Children’ In Pennsylvania
Catholic Church ‘Covered Up’ Sexual Abuse Of ‘More Than 1,000 Children’ In Pennsylvania
BY : CHARLIE COCKSEDGE
17.6kSHARES
catholicchurchPA.jpg
PA
Over a period of 70 years, bishops and other leaders of the Roman Catholic Church in Pennsylvania covered up sexual abuse by more than 300 priests, according to a Grand Jury report.
The report, which was published on Tuesday (August 14), reveals the appalling number of crimes and the shocking cover-ups that went with them.
It covered six of Pennsylvania’s eight Catholic dioceses, and found more than 1,000 identifiable victims. It is the broadest examination so far by a government agency in the US into the sexual abuse of children by the clergy of the Catholic Church.
Theodore_Cardinal_McCarrick.jpg
Wikimedia Commons/Andy Mettler
The report also suggests there could be thousands more victims whose records were lost or who did not come forward out of fear.
The Catholic Church in America has been plagued by sexual abuse scandals for more than 15 years, especially since the allegations uncovered by the Boston Globe in 2002. However, these latest revelations mean the scandal has reached the church’s highest ranks.
The new report comes not long after the resignation of Cardinal Theodore E. McCarrick, the former archbishop of Washington, who was accused of sexually abusing young priests, as well as children, the New York Times reports.
The report details disturbing instances of abuse of children by priests and other members of the church, including a priest who was allowed to stay in the ministry after getting a young girl pregnant and arranging for her to have an abortion.
C'mon
KUNA MAHALI NIMEKUBISHIA BROTHER?
mbna nimetaja wazi kabisa kuwa misikiti na makanisa?
WE KAZANA NA KUNYOOSHEA KIDOLE KANISA ukafikiri MWANAO YUKO SALAMA kwa kuwa kanisa halimhusu!
U ARE TOTALLY MISSING A POINT HERE!
totally!
but well, INAKUSAIDIA KUZIBA OMBWE UNALOAMINI HALIKUHUSU!
have a feast brother!
BRING IT ON!
 
nimeshindwa kuijibu !
I think hii nimekuwa too emotional na hii thread kiasi!
najizuia kujibu some comments!
Inasikitisha sana kijana mtu mzima ana afya ya akili kuandika upumbavu wa kiwango hiki, unless aseme ana matatizo ya afya...
 
Masheikh madrassa wanawaharibu Sana mabinti wa kiislamu,samahani lakini
Papa Francis ashindwa kuidhinisha pendekezo la wahanga wa ubakaji | DW | 22.02.2019

Katika mkutano wa kilele unaoendelea kuhusu kuzuia unyanyasaji wakingono dhidi ya watoto,kiongozi wa kanisa Katoliki ashindwa kuidhinisha hatua iliyopendekezwa na waliopitia ubakaji la kutaka wahusika wafukuzwe kanisani

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amejiandaa leo (22.02.2019) kuendelea kuongoza kikao cha mkutano wa kilele wa Kanisa Katoliki kuhusu kuzuia unyanyasaji wakingono dhidi ya watoto unaotajwa kufanywa na viongozi wa kidini wa kanisa hilo.

Katika siku hii ya pili ya mkutano wa siku nne itashuhudia hotuba zikitolewa,pamoja na kuwepo kipindi cha maswali na majibu sambamba na kuwepo majopo kazi,vipindi vya maombi na kusikilizwa ushuhuda utakaotolewa na wahanga waliobakwa na waumini wa kanisa katoliki. Katika ufunguzi wa mkutano huo hapa jana kiongozi mkuu wa kanisa Papa Francis aliwasilisha mpango wa pointi 21 wa kupambana na vitendo vya unyanyasaji kingono katika kanisa hilo pamoja na kuwahusisha wataalamu wasiokuwa waumini wa dini katika uchunguzi wa ndani wa kanisa hilo.

Hata hivyo Papa Francis alishindwa kwenye mpango wake kuidhinisha pendekezo muhimu lililotolewa na wahanga waliofanyiwa madhila ya ubakaji la kutaka mapadri wote waliotajwa kuhusika na vitendo hivyo viovu pamona na maaskofu waliouficha uhalifu huo kufukuzwa kabisa kanisani. Sauti mbali mbali za viongozi wa kanisa hilo zilisikika jana zikitowa ujumbe wa hisia kuhusu dhambi hiyo ya ubakaji iliyolichafua kanisa Katoliki duniani. huyu hapa ni kadinali Luis Tangle kutoka Ufilipino.

''Kushindwa kwetu kushughulikia mateso waliyoyapata wahanga,na hata kufikia hatua ya kuwakataa na kuficha kadhia hii ili kuwalinda waliotajwa kuhusika pamoja na taasisi,kumewaumiza watu,na kusababisha vidonda vikubwa katika mahusiano yetu na wale tuliotumwa kuja kuwatumikia''

Tim Lennon rais wa mtandao wa walionusurika na ubakaji uliofanywa na mapadri
Wahanga waliobakwa pia walipata nafasi ya kusikika katika kikao cha jana.akiwemo mhanga kutoka Chile aliyewaita walioshiriki mkutano huo kuwa wauwaji wa imani. Alikuwepo pia mwakanamke wa kiafrika aliyezungumza kwa hisia na kusimulia jinsi alivyobakwa kwa miaka 13 vitendo alivyoanza kufanyiwa akiwa na umri wa miaka 15 akiwa chini ya mikono ya padri wake wa kikatoliki.

Zaidi ya miaka 30 baada ya kadhia hii ya ubakaji makanisa kuibuliwa nchini Ireland na Australia, na miaka 20 baada ya kugonga vichwa vya habari nchini Marekani wakihusishwa maaskofu na maafisa wengine wa kanisa Katoliki barani Ulaya, Amerika ya Kusini, bado hadi wakati huu barani Afrika na Asia viongozi wa kidini wa kanisa hilo ama wanakanusha au kukataa kabisa kwamba visa vya ubakaji vipo katika kanisa katoliki kwenye maeneo yao.

Mwandishi:Saumu Mwasimba
Mhariri: Iddi Ssessanga
 
Back
Top Bottom