Umewahi kufikiri kuhusu usalama wa watoto wako kijinsia?

Mtu na kaka yake(wanashare baba) wanaishi nyumba moja wamemimbana, wazazi hawaamini majicho yao kwa lililotokea.

Wazazi tumejisahau sana ktk suala zima la malezi, tunajuabkulea ni kulisha,kuvisha,kusomesha na kuwapa malazi. Kumbe kuna mambo ya msingi sana tumeyapuuza. Turudi tuwe wazazi, hii ni kwa kila mmoja wetu iwe una mtoto au hauna, mtoto wa mwenzio umchukulie kama wako.
 
"It takes a village to raise a child"
Huu msemo umeshaharibiwa. Unaowaamini kwenye malezi wanaweza kugeuka kuwa wauwaji kabla hata hujapepesa macho.

Hamna kitu kibaya kama kutengeneza ombwe kati yako na mwanao. Unadhani unamjengea nidhamu kumbe unamtenga na kumjengea upweke. Akiwa mpweke ni rahisi sana kurubuniwa na kufanyiwa ukatili akakaa kimya akigugumia mwenyewe.

Pili, tukumbuke kuwa "today's victim may be tomorrow's monster". Mara nyingi wahanga wa matukio ya ukatili wakiwa wadogo kama hawajapata msaada wa kisaikolojia hugeuka kuwa watu wa hulka za ajabu wakikuwa au na wao wanawakatili watoto wadogo kama walivyokatiliwa.

Nashukuru kwa kuleta hii mada. Tunahitaji kuzungumza na kukumbushana mara kwa mara. Tuzidi kuomba utashi wa Mungu utuongoze.
 
Ndiyo utajua shida ya kuzalia nyumbani, dogo akikua wajomba wanajisevia..!

Sent using Jamii Forums mobile app
kafirigwe mbele huko. wewe hukukua na wajomba kwenu? au na wewe uliseviwa na wajomba ako ndio maana unaongea hivyo?? na kwa taarifa yako nakaa kwangu na msichana wangu wa kazi na mtoto wangu. kama umekariri sababu ulilelewa ujombani poleee
 
Watu wana majibu yenye kuudhi sana, ninachoamini tu ni kuwa mtu anaku-attack ili apate relief ya matatizo anayopitia. If you ignore them, they feel miserable!!
 
huyu mpuuzi sio mara moja anakuja kuniattack. sijui kama akihisi naishi alivyoishi yeye basi atapata unafuu kwenye past yake au la. najaribu kumuignore ila sio anapogusa maishan ya mtoto wangu. kakariri kila single mom anaishi ujombani akisubiri ugali wa shikamoo ili mtoto wake alale na anko kama alivyopitia yeye
 
Kabisa!
Yani I just came to conclude that people are looking for somewhere to blame!
Sasa ukibishana nae anakupandisha adrenaline buuuuuuure!
 
huyu mpuuzi sio mara moja anakuja kuniattack. sijui kama akihisi naishi alivyoishi yeye basi atapata unafuu kwenye past yake au la. najaribu kumuignore ila sio anapogusa maishan ya mtoto wangu. kakariri kila single mom anaishi ujombani akisubiri ugali wa shikamoo ili mtoto wake alale na anko kama alivyopitia yeye
Af mbona ni mbaya sana kukaririr personality ya mtu basing on comments za thread!?
 
Hata kusoma tu hii habari yako mtu anakasirika, shame shame!!!

Mkuu hupaswi kukasirika hivi vitu vipo sana,Tena kuna wengine ulikua huwategemei kupitia hizo ishues but things happened cha msingi ni kujifunza.Na mshukuru sana huyo mkuu kufunguka kuhusu kufanya hicho kitendo it takes alot of courage kwasababu kuna watu watakujudge watakuona mbaya et.Lakini it is the first step towards healing.

Kuna mkuu mmoja amesema kua watoto wake huwa anawakagua namna sehemu za nyuma na dudu etc mwingine akasema yeye aliamua kuhama kijijini..Zote hizo ni hatua nzuri lakini kama hautajenga ukaribu na watoto wakawa marafiki zako wa kweli.I AM SORRY TO SAY HIYO NI KAZI BURE.
Kwasababu nimeshuhudia watoto wakifanya uhuni wote tena wengine ni fellowship leaders,watoto mifano bora blah blah wanafanya kila kitu na wanajua kujisafisha na wakawa clean sana na mzazi hata usijuie chochote.Kuna wengine wasichana 11,12...19yrs wakitoka kanisani wanapita kwa jamaa zao wanapewa dozi.Wanakoga na kurudi nyumbani wameshika bibilia...
Kuna wazaz wengine eti wanawalinda watoto round the clock mwishoni mwa siku they bring their innocent looking friends wanafanya whatever you thought it was impossible.Watoto wa kiume 7,8....15yrs wanajua vitu vingi mno,tena vingine wewe unadhani unajua kumbe madogo wanakuo mshamba.

Chanzo ni nini
Tutambue kuwa malezi mengi ya watoto wa kiafrika kuzungumzia ngono ilikua ni dhambi kubwa sana.
Na kama ulikua ukianzisha topic hii automatically wazaz wanakuita wewe muhuni,watakuliza hivi vitu umevijua wapi?infact watakuadhibu kwasababu ya kusema ukweli.Kwahiyo utakua ile critical stage ya kuengage mzazi aweze kukupa muongozo bora inapita matokeo yake unaishia kupata muongozo kutoka kwa watoto wenzako

Pia kuna jamii ambazo wanapromote sexual active style.Yaani kwenye hizi jamiii kama mtoto hajawahi kuliwa au kula mzigo unaonakana mjinga.Na mara nyingi kuna sherehe nyingi za kuamsha hisia ili watoto na watu wazima kiujumla wapate hamu ya kutafunwa na kutafuna mtu.Mfano mzuri ndugu zetu hawa wanaopenda ngoma utakuta mwanamke anakata mauno mchana kweupe na sehemu nyeti zote zinaonakana mbele ya ya watoto wa rika zote,
 
Sheria mbovu za nchi.Fanya utumbo Arab country ama some asia countries.Yemen wanakuwasha hadharani.
mmh actually mkuu hao ndo wakwanza kuvunja sheria mkuu,ni kwa vile hujui tu.naomba nishie hapa ila ni vaibaya sana kujudge kitu by its cover...
 
Mkuu hupaswi kukasirika hivi vitu vipo sana,Tena kuna wengine ulikua huwategemei kupitia hizo ishues but things happened cha msingi ni kujifunza.Na mshukuru sana huyo mkuu kufunguka kuhusu kufanya hicho kitendo it takes alot of courage kwasababu kuna watu watakujudge watakuona mbaya et.Lakini it is the first step towards healing.

Kuna mkuu mmoja amesema kua watoto wake huwa anawakagua namna sehemu za nyuma na dudu etc mwingine akasema yeye aliamua kuhama kijijini..Zote hizo ni hatua nzuri lakini kama hautajenga ukaribu na watoto wakawa marafiki zako wa kweli.I AM SORRY TO SAY HIYO NI KAZI BURE.
Kwasababu nimeshuhudia watoto wakifanya uhuni wote tena wengine ni fellowship leaders,watoto mifano bora blah blah wanafanya kila kitu na wanajua kujisafisha na wakawa clean sana na mzazi hata usijuie chochote.Kuna wengine wasichana 11,12...19yrs wakitoka kanisani wanapita kwa jamaa zao wanapewa dozi.Wanakoga na kurudi nyumbani wameshika bibilia...
Kuna wazaz wengine eti wanawalinda watoto round the clock mwishoni mwa siku they bring their innocent looking friends wanafanya whatever you thought it was impossible.Watoto wa kiume 7,8....15yrs wanajua vitu vingi mno,tena vingine wewe unadhani unajua kumbe madogo wanakuo mshamba.

Chanzo ni nini
Tutambue kuwa malezi mengi ya watoto wa kiafrika kuzungumzia ngono ilikua ni dhambi kubwa sana.
Na kama ulikua ukianzisha topic hii automatically wazaz wanakuita wewe muhuni,watakuliza hivi vitu umevijua wapi?infact watakuadhibu kwasababu ya kusema ukweli.Kwahiyo utakua ile critical stage ya kuengage mzazi aweze kukupa muongozo bora inapita matokeo yake unaishia kupata muongozo kutoka kwa watoto wenzako

Pia kuna jamii ambazo wanapromote sexual active style.Yaani kwenye hizi jamiii kama mtoto hajawahi kuliwa au kula mzigo unaonakana mjinga.Na mara nyingi kuna sherehe nyingi za kuamsha hisia ili watoto na watu wazima kiujumla wapate hamu ya kutafunwa na kutafuna mtu.Mfano mzuri ndugu zetu hawa wanaopenda ngoma utakuta mwanamke anakata mauno mchana kweupe na sehemu nyeti zote zinaonakana mbele ya ya watoto wa rika zote,
Asante mkuu kwa mawazo yako, very constructive!!
 
Af mbona ni mbaya sana kukaririr personality ya mtu basing on comments za thread!?
mpenzi huyu mtu popote atakaponiona lazima aje kuandika utoko. huwa namchukulia poa ila kwa mwanangu kavuka mpaka. aniseme mimi single mom mpaka achoke ila sio kwa mtoto wangu sitavumilia upumbavu wake
 
Bado mm naamini mzazi ndio mtu pekee anaeweza kumfanya mwanae awe sehemu salama au hatarini

Mtoto ziku zote humzoea mzazi kuliko kitu chochote sasa kama mzazi atasimama imara Amna kitakacho aribika ila mzazi akizembea na kupuuzia baadh ya tabia za mtoto basi ni rahisi mtoto kutumbukia pabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom