Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,375
- 161,378
Wazazi wamekuwa waoga kuongea na watoto wao kuhusu ukuaji wao!Ulilo lisema ni jambo la muhimu na msingi sana Mkuu,katika kuwaelimisha hapo wazazi wasione hayan kuwaeleza watoto juu ya maeneo yao sehemu zaa siri, na ni kwanini hawatakiwi kuguswa wala kupigwa picha(imekuwa mtindo mpya sasa) na watu wengine hata kama ni mtu wa karibu, tujaribu kuwaelekeza kwa juhudi na maarifa kwelikweli ma tuwaelekezavyo shughuli za nyumbani kama kuosha vyombo na kupika.