Umewahi kufanyiwa Operation....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Ya..... Tumbo, Uzazi, Moyo, Koo, Matiti, Kupunguza/Kukuza Makalio.........

Ni lini na hospital gani??

Mimi sijawahi fanyiwa operation hata 1 lakini nina mpango wa kufanya penis enlargement niwashikishe adabu kwa

wanaotaka kufunzwa na Ulimwengu...


 
Boflo, Kuna mwenzio alikufa kwa kutaka kuukuza, its how you can use it and not how big it is. Tena achana na habari za vijiweni, watakupoteza.
 
Side effects ya hiyo operation nadhani ni ya hatari sana.
 
All the best boflo. Angalia usijekuwa maandazi bure!
 
hivi kung'oa jino ni aina ya operesheni?
 
Hata hiyo mimi bado, na mkono wa sweta kwa raha zangu...

Huwa sipendi kuongea pasipo kuwa na Ushahidi.
Je unaweza ukanionyesha?
Come huku nyuma ya Pazia nichungulie.
 
Boflo hiyo kitu hata uwe na nini, haishiki adabu, utachoka wewe tu. Kwi kwi kwi teh teh teh, kama unabisha muulize MadameX
 
Last edited by a moderator:
Boflo, Kuna mwenzio alikufa kwa kutaka kuukuza, its how you can use it and not how big it is. Tena achana na habari za vijiweni, watakupoteza.


sio tu vijiweni..wanawake pia wanaweka pressure..unakuta mwanamke mbele za watu anasema aah mwanaume mwenyewe kidude kidogo..sa hapo jamaa anataka aweke heshima wawe wanasema eeh boflo yule ana nyoka kwenye suruali yake :happy:
 
Huwa sipendi kuongea pasipo kuwa na Ushahidi.
Je unaweza ukanionyesha?
Come huku nyuma ya Pazia nichungulie.

Of koz I can, hii imepita kwingi sana ndo ifike hapa ilipo!
 
hahahahah Boflo utajikomesha mwenyewe nitakuletea uji hosp
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…