Umewahi kufanyiwa Operation....

Umewahi kufanyiwa Operation....

Me tayari, ninazo 3 za uzazi, mpaka tumbo langu limekaa kama m.a.t.a.k.o
 
Ni hospital ya uhakika .......

Kicheko! Side effects haina cha aina ya hospitali, iwe India,South Africa au hata St. Monica manzese side effects utazipata tu.Waeza fanyaenlargement afu blood supply ikawa defective,so unaishia kuwa na chatu wa kibisa. Kicheko!
 
Back
Top Bottom