gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,616
Ha ha ha ha ha!
Mke wa mtu ni Price au Miss Chagga?
Samahani mkuu Gwijimimi. Mimi sielewagi jinsi mnavyooa humu ndani.
Hehehehe ukioa utaelewa mkuu
Gusa wote ila ukijaribu kwa miss chaga aka mama ya mwenyewe aka mama mapetha namwaga mtu kinyesi walaah