Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,638
Hizi sio zile wewe umefananishaMkuu hizi "Skuna" bado zinapeta tu?![]()
Kobazi/kubaziTzF iko tayari kunyanyua majeshi mzigoni na muda huu namna hii

Aisee
Tunaonyesha unadhifu zaidi.
Tunasubiri yako😅Hili ni toleo jipya la selfika 🔥🔥🔥
Duh hayaTunaonyesha unadhifu zaidi.
Haahaaa!. Mkuu sisomagi jina. Acha niifute.
Vina...Vizuri havitangazwi😀
Kaa chonjo,tunasubiri mlale tuweke.Tupieni maphoto.
Vinafichwa kwaajili ya mtu maalumVina...
Shukrani sanaHaahaaa!. Mkuu sisomagi jina. Acha niifute.
Kumradhi Mkuu

Tulale tena??Kaa chonjo,tunasubiri mlale tuweke.
Ili Tukiwa free tuweke picha tukiwa tumependeza rafiki😉Tulale tena??
Mnataka tusione nini??