Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

58087890_1297240630444404_829740591565766656_n.jpg

Hata kama ni tandamu this is too much, noooo!!!
Si ndiyo mnapendaga, sisi wenye flat screen hamtutaki🤔
 
Lamomy mfikishie habari mod anayemvizia wifi yako kuwa nitamkula kichwa, naelekea kupanda Abood toka kigoma kufika Dsm.View attachment 2818250
Kaka salamu zimefika na zitafikishwa km zilivyo hajui km unamiliki mguu wa kuku??
Kaka mabegi yote hayo umejaza pesa 🤑🤑

Wifi ndo utulie nipewe pesa uache kucheka na washamba Ms eyes
Nikikosa pesa hizo nakutafuna mbichi mbichi 😂😂😂
 
Jembe,shoka na nyundo ziko humo bila kusahau mahindi toka shamba

Mguu wa kuku labda tutatumia wako 😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom