cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Ni watamu kwa kweliii, labda kwa kuwa hamjawazoea.Mmmmh, nimewaona waliokaangwa leo wengi wanapitisha kuuza majumbani,
Mwenzangu hao wadudu silagi,
Kataa hivo hivo 😂😂😂😂Kwendraaah![]()
Fanya uondoke bongo miyayusho 😂😂😂Kwa kweliii,![]()
Si unaona sasa, mmeelewana vzr tu mdg mdgKilo 5 peke yangu? Huko kukomoana sasa lazima nitoke speed😀
Mfyuuuuh!! Mkinga wa mchongoo wee.Wee siwezi!! Vile nikiwaona nahisi km mende![]()




Zulu man 😂😂😂Yupo na nani?
Harusii tunayoooHalafu nilitaka kumuita apate taarifa ajue simtaki tena yule mbabu wake sahivi nipo na kitu brand new kina passport na mihuri kama yoteee



🤣🤣🤣🤣 kuwa mkinga ndo kila wadudu nile?Mfyuuuuh!! Mkinga wa mchongoo wee.
![]()
Fanya uondoke bongo miyayusho![]()



hiyo "miyayusho" nime imagine kwa saut ya jamaa m1 hivii, mbavu cna woiiihIla Mbwa unakula?🤣🤣🤣🤣 kuwa mkinga ndo kila wadudu nile?
😂😂😂😂 Mnataka Kantry aniache sasa!!!Ila Mbwa unakula?
kuwa mkinga ndo kila wadudu nile?



umekulia Kkoo utajulia wapiii? Acha wapori pori tulee wadudu wa kunogaaa.Ntakubonda 😂😂😂Tokaaah![]()
Ndio nan? Anaitwa zulu nan?Zulu man![]()