😂😂😂😂 Me nakazia maelezo yako🤣🤣🤣🤣 umeanza ukipigwa utasema wanajeshi wakorofi 😅😅
Wee kweli? Hebu shem njoo Nyani Ngabu ututhibitishie hili 😂😂😂😂Unaamini picha ya mwaka 92 wakati Missy Gf ndio anazaliwa?
Kwa ninavyomjua utukutu wake,atavifinya afukuzwe kazi kabla hajafika malengo!🤦😂😂😂😂 Atavitawaza vibabu vya kizungu had apate nauli
🤣🤣🤣🤣Nia yako tu nisutwe na na mashairi ya Hip-hop za Brooklyn si ndio eeeh?umemwita hapa kwenye mazungumzo ya kifamilia wa Nini?Wee kweli? Hebu shem njoo Nyani Ngabu ututhibitishie hili 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Sasa atafanyaje?Kwa ninavyomjua utukutu wake,atavifinya afukuzwe kazi kabla hajafika malengo!🤦
😂😂😂😂 Si kashaingia kwenye familia tunataka ajibu tuhuma🤣🤣🤣🤣Nia yako tu nisutwe na na mashairi ya Hip-hop za Brooklyn si ndio eeeh?umemwita hapa kwenye mazungumzo ya kifamilia wa Nini?
Mkaldayo wewe ni umbwaaaHuyo kwenye avatar picha ni maza?
Bora Carleen umuambie aisee huyu anakuaga na utani uliopitiliza, nilishamuambia apunguze, sasa hivi kapunguza kidogo, but she is real huwa anajua anachofanya na ana akili sana
Nimetaja dada zangu humu, akasema dada angu mmoja hapo huwa hapendi anavyofanyaga utani huku na wengine. Nikamuuliza ni Carleen?
Hii sijui hata imeanzia wapi bro, ila hapo pa upole nimecheka kiukweli..!!
🤣🤣🤣🤣Natabiri msuto wa kinyamwezi leo🏃🏃🏃🏃😂😂😂😂 Si kashaingia kwenye familia tunataka ajibu tuhuma
Nyie watoto mnapenda kuamini maisha ya Instagram 🤣🤣🤣🤣 shauri zenyu😂😂😂😂😂 Sasa atafanyaje?
Ila me siamini bana!! Mbona Nyani anaonekana ana pesa na jentromani
Kwani masomo hayataisha? Baadae akija kuwa dangote mnaanza kujutaAnasoma pesa hana
Akinisuta utanisadia?tulia bhana aje kujibu
Nyie watoto mnapenda kuamini maisha ya Instagramshauri zenyu


Pesa anazo bhana acha kututisha dadaHabari za siku mingiSi hizo bastola hapo kwa fasi, mnaitaga hips kwa jina la Ngaii
Kwani masomo hayataisha? Baadae akija kuwa dangote mnaanza kujuta



dangote Simba la masimba au Aliko??