Huyo kwenye avatar picha ni maza?Uzi una kitu utafika mbalii..
Huyo kwenye avatar picha ni maza?Uzi una kitu utafika mbalii..
Kantry ananitafuta nishamuona
Usijali ntakupa my dia


niliscreeshot nyingi sana, ulikua unakula nn?Duuh naona pipe iko kwenye protector😀😀
Mmoja hapo aliniambia kuna siku niliona unataniana na mtu mpk nikajiuliza au hamko serious na bro? 😂😂😂Dada zangu humu nawapenda sana
Joannah
Antonnia
Carleen
Mamy K
Mmoja hapo aliniambia kuna siku niliona unataniana na mtu mpk nikajiuliza au hamko serious na bro?
Itabidi niache utani ss hivi kumbe mawifi wako makini![]()

ni nani alikuambia hivyo?😂😂😂 vyakula vya kiarabuniliscreeshot nyingi sana, ulikua unakula nn?
Role model wangu....Huyo kwenye avatar picha ni maza?
Anajijua 😂😂😂ni nani?
Nampenda. Nilimuombeaga humu humu wakati akiwa makamu wa rais aje awe rais.Role model wangu....
😂😂😂 sio meWe uduguuu turriaaaaa!! Walai Kantr anakula pazuriiii nyieee🙌🙌🙌!
Anachelewa shem mi nataka kulala 😂😂😂Anakuja hebu kaa kwa nywila, mfyuuuh
![]()
Atakua ni mamy kAnajijua
Akipita atajisema mwenyewe

Wachaa weeUmepitwaaa shosss akeee...Bongesa la mshepu uwiiuu!!
Lamomy mkareeee kinoumaaa!



Mbona hujafuta?Nougaaa sannaaa auweeeee!! Lamomy naiomba hio saa kwanii lol!!
Umependeza sanaaa Chimomy ake Kantri!
Sio Rais huyu, ni mke wa late Mkapa.Nampenda. Nilimuombeaga humu humu wakati akiwa makamu wa rais aje awe rais.
Mungu amlinde amtangulie amjalie furaha, afya na maisha marefu.
Thank youPortable easy to carry, nice one
We love you tooo kantri akeee Chimomy!!😍😍😍😍Dada zangu humu nawapenda sana
Joannah
Antonnia
Carleen
Mamy K