Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

me sina neno naye mbona
Sema katisha sana na viatu vyake OG anavaa brand tupu
Nijiweke kwake au wee unasemajee?
Afu aliishi mambelee huyu, ko kukwea ni kugusa tyuuh,
Chap kwa fasta tupo Michigan.
 
Kwani kuna familia haina mdomo🤣🤣 Chai wananywea puani🤣🤣
Si tunakupenda tu😍
😂😂😂 Siamini km nimepita kwenye familia yenu!!!
Kaka ako anachagua utasema anataka kumla nyama mtu!!!🙌
Kuna muda had najiuliza nimetoboa toboa vipi? 😂😂😂
 
Kabisa kungwi hongera 😂😂😂

Kaka ako kashagoma why nilazimishe?
Kwanza akinijua yeye inatosha!!!
Usimuone anaingia na kutoka humu ukajua kaupenda uzi!! Ooh!! Yuko anafanya patrol 🤣🤣🤣🤣
Msikilize mahabuba wako, achana na Sisi walimwengu....Sisi ikifika saa usiku tunalala, wewe ndio utakesha na mito🤣🤣🤣
Analokukataza usifanye mwari wangu.....
Na ukipost namwambia🤣🤣, ukidundwa Simo🤣
 
Nijiweke kwake au wee unasemajee?
Afu aliishi mambelee huyu, ko kukwea ni kugusa tyuuh,
Chap kwa fasta tupo Michigan.
😂😂😂😂 Jiweke aiseee!!
Kwa miosho ile akuchukue mnaendana kabisaaa!!!
Mambele aliishi jimbo gani? 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom