Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Weekend ilikuwa hivi
 

Attachments

  • 20230108_164326.jpg
    20230108_164326.jpg
    892.4 KB · Views: 14
Najua imekukuna mchawi mkubwa wee...
Na nataka niivalishe dyudyu then nipost ili ikuume zaidi...
Hicho kibamia tena kisicho katwa jando, utavalishaje? Labda ukapinyuee kwan katoke na utoko utoko mweupe, ili kasikwamee.
Mfyuuuih
 
Sijui nichukue picha ya mtuu jukwaa la selfie kule nije niibandike huku?😁
 
Waje si ndo wenye kijiwe why wakimbie??
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo

Ila anko maba aje atuambie ilikuwaje had akajikuta korokoroni?!!!
kuna uzi huko wanavyo rusha roho na memes, nimechekaa had hoii.
Babu miga na nyamitakooo wake.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX

Similar Discussions

Back
Top Bottom