Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

bado sana!!
Subiri babu miga aje na kina mabakuri uone km utasema ilo neno
nimecheka had kupaliwaa.
Uduguu huwa hutaki Amani kabisaa,

Chibaba anataka nitulie, wee unataka nibaki kwa heka heka, jaman nataka ndoaa bhana wee.
 
Haha mkuu kwanini umenifananisha na huyo, mimi siyo mwanajeshi wala, hiyo intake unayosemea ni wale wa military science walioapishwa leo au
Afu kuna mtu umefanana nae ktk wale 62, nilidhani nawee upoo pale.

Walipendeza sanaa na majoho yao.
 
nimecheka had kupaliwaa.
Uduguu huwa hutaki Amani kabisaa,

Chibaba anataka nitulie, wee unataka nibaki kwa heka heka, jaman nataka ndoaa bhana wee.
Waje si ndo wenye kijiwe why wakimbie??
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo 🤣🤣🤣

Ila anko maba aje atuambie ilikuwaje had akajikuta korokoroni?!!! 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom