Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,849
Haufungwi ushazindikwa sema babu miga alitaka kutuletea jau 😂😂😂Halahala uzi usifungwe tu😁!
Kaja kutuchamba
Haufungwi ushazindikwa sema babu miga alitaka kutuletea jau 😂😂😂Halahala uzi usifungwe tu😁!
Niringe 🤣🤣🤣🤣Thubutuuuu!! Mtoto mashallah! Umekamilika kila idara!
Unyama mwingi mnoo eng.Nikitupia Tims (OG sio mdosho) huwa nafeel secure kinyama. Mnyama nilimnunua huyo laki na ushee ka laki mbili kasoro amsna moja.
View attachment 2818143



Mfyuuu!!Niringe 🤣🤣🤣🤣
Ntapost mkimbie hapa
We kunguru uwe wa masaki? Thubutuuuuu 🤣🤣🤣🤣uduguu kwann unanifanya niwe wa uswazii? Ba tamu anataka niwe km wa Masaki.
Unampa kaz ya kunichange bhana.
Hahahahaha,kwann ? Jambo gani ?Kuna jambo limenishtua nilivyoona
MV maersk 🤐
Chugga man alishaweka angalizo mapema!!Mfyuuu!!
Hebuu post mpododo huo ushtue uzi kwanza story zimekua nyingi sana!
We kunguru uwe wa masaki? Thubutuuuuu![]()



naweza bhana, unajua mapenzi weyee?Acha hizoo uduguuu!Chugga man alishaweka angalizo mapema!!
Kukiuka masharti ni sawa na kujitafutia kuzikwa mzima mzima 😂😂😂😂
Mfyuuu!!! 😂😂😂😂naweza bhana, unajua mapenzi weyee?
Ntakua km wa kutoka Royal family. Niwachee.
Tumegomaaa, we na babe wako hamchelewi kuchamba vitambi vyetu 2035 huko🤣🤣Wadau punguzeni maneno wekeni picha tuone kabla bundle halijaisha 😂😂😂
Labda anipe ruhusa mwenyewe 😂😂Acha hizoo uduguuu!
Hili nalo nenoo😁😁Tumegomaaa, we na babe wako hamchelewi kuchamba vitambi vyetu 2035 huko🤣🤣
Sindio asee. Nikikosa Tims huwa natupia airmax OG au airforce au vans na all star. Sivai kiatu ingine. Travoo navaa labda kwenye events tu. Ila casual ni Tims, Airmax, AllStar, Vans na AirForce.Unyama mwingi mnoo eng.
![]()
Mmm😂😂😂 mifupa?
Piem yenyewe ishakufa muda
😁😁😁😁!Labda anipe ruhusa mwenyewe 😂😂
Niwafurahishe if niachike na mume?
Hata km nimempata JF sio ndo nijiendekeze
AiseeSi ndo hapo sasa!! Ya nini kukaa ukiwa km tuko msibani? 😂😂😂😂
Michachuo lazima
AnastahiliNikitupia Tims (OG sio mdosho) huwa nafeel secure kinyama. Mnyama nilimnunua huyo laki na ushee ka laki mbili kasoro amsna moja.
View attachment 2818143
Huyo akikukaliaas akili lazima ikukae sawa hahaa 😁!