Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,564
nikajua hujaona

nikajua hujaona

Yes miss eyes she's beautifulOyoooo!!
Mtoto mkareeee weweee
Ila Zulu ninunulie soda me nimechangia Ms eyes kukupenda ujue?? Lete maokoto kwa m/kiti![]()
Ngoja nimalize kuimba😂Safi naona upo church
Safi mama mchungajiNgoja nimalize kuimba![]()

Leo mi mwenyewe nimepitwa DC labda coca na la mamaa ndio wanaeza toa miongozo ya samaree! 🤠Nilikua sipo jf, naomba samereeee![]()
Leo mi mwenyewe nimepitwa DC labda coca na la mamaa ndio wanaeza toa miongozo ya samaree!![]()



ngoja wajeMkubwa jiwe kala glass za kinyama sana .
So Ndo umevaa hivo kakalakeeeee 🤠🤠😁!
That's my type
kutonga na bajetiYaani simple hiyo hiyo tangu 2019!? Kweli?hata kama ni ubahili huu sasa utakuwa ubahili pro max
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjanja sana wewe! Eti umevaaje leo🙌🙌🙌😁!
Bwana Yesu asifiwe mpendwa
Mwamba na kuchoka kooote bado kalala kaweka mkono kwenye pombouu![]()


Sijaona mtoko wakoiko wapi jamani, Mimi sijaona![]()
Atakayeuvuruga ama atakayejaribu kuuvuruga awaulize waliouvuruga SELFIKA nini kiliwapata..Mjanja sana wewe! Eti umevaaje leo!
Watu wasiuvuruge sasa na kuna watu wakija tu lazima uzi uvurugike huu!


