Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

images.jpeg
images.jpeg
 
Na wale wa kuchimbwa chini sijui mnaita chenene, huku mnapenda sana kula wadudu.
Makururu,
Usitajee bas dogo anaenifata anapenda hao wadudu balaaa,

Akienda huko shamba, hana kazi yeye kuchimba tyuuh.

Mie napenda kuchuruza mageke, had ukubwa huu nabeba sado na luhanu nakalisha tako kuchuruzaa magekee na sioni aibu.
 
Mnaongea lugha gani lakini 😆
 
Makururu,
Usitajee bas dogo anaenifata anapenda hao wadudu balaaa,

Akienda huko shamba, hana kazi yeye kuchimba tyuuh.

Mie napenda kuchuruza mageke, had ukubwa huu nabeba sado na luhanu nakalisha tako kuchuruzaa magekee na sioni aibu.
, huko shamba wamejaa kibao hao wa kuchimba,nawaogopa wanang'ata ukiwashika vibaya,

Wewe madede pia wala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom