Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,970
- 177,187
๐ถ๐ปโโ๏ธ๐ถ๐ปโโ๏ธ๐ถ๐ปโโ๏ธ๐ถ๐ปโโ๏ธ๐คNyooo ๐๐๐
Cha mwali kiliwe, na cha kungwi kiliwe
๐ถ๐ปโโ๏ธ๐ถ๐ปโโ๏ธ๐ถ๐ปโโ๏ธ๐ถ๐ปโโ๏ธ๐คNyooo ๐๐๐
Cha mwali kiliwe, na cha kungwi kiliwe
Ushakosea masharti, huko inatakiwa uende uchi.Nimevaa kaniki na hirizi nakuja kilingeni kwako
Msisitize shem maokoto yangu anitumie ๐๐๐Mimi nipo mapema sana
Rudi lasivyo ntakuitia sir midabwada ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ถ๐ปโโ๏ธ๐ถ๐ปโโ๏ธ๐ถ๐ปโโ๏ธ๐ถ๐ปโโ๏ธ๐ค
Kazi yangu ni kumpatia akutumie ,siwezi kukutumia direct ni kumkosea heshima๐Msisitize shem maokoto yangu anitumie ๐๐๐
Msisitize shem maokoto yangu anitumie ๐๐๐
Unataka mwenzako apite bila bilaNimefanyaje ๐๐๐
Wee nionyeshe ulivyovaa khanga moko mrembo
Wee weka picha hapo ulivyopigia pamba au sufi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHukuona tulivyomsaidia Malawi alivyokumbwa na mafuriko ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hata mjeda mwite siwaogopiiii Sir Midabwada Lamomy anakuita hukuuu ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ๐!Rudi lasivyo ntakuitia sir midabwada ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHata mjeda mwite siwaogopiiii๐!
Safi naona upo churchNimevaa kijora changu chakavu kimejikunja utadhani kimetafunwa na ng'ombe
Nakunywa zangu soda,
Ndio nianze kuimba.
View attachment 2817891View attachment 2817893View attachment 2817896
Ngisi ninewahi ni watamu, pweza sijawahi kula siwapendiHao pweza na ngisi nilijitahidi kula, nilitapika mpk nikahisi roho inataka kutoka![]()
Nilikua sipo jf, naomba samareeee

JF kuna wanawake wa namna hii??Ni nani huyu? Nimepost kwa niaba kwa ruhusaView attachment 2817266
Sent using Jamii Forums mobile app