Sina ningetupia fasta udugu 😂Tupiaaa mafotoo tupiaaaa mafotoo😁!
Ngoja tuwaite wadau wakujee kuchangamsha uziSina ningetupia fasta udugu 😂
Bora ulivyomtag aje apite naked kidume wa kigoma 😂😂😂Ntiluseswa mzeiya wa kupita naked hajiulizi mara mbiliiii ,🤠
Tupia ulichovaa muda huu, fahari ya macho Kwa members .... 😍😍Semaaa
Naskia skia umepitaNini?
Sina ningetupia fasta udugu![]()

Kweli ankal? Mi nilishangaa mwanamke gani ana mpaka kudude cha shingoni kile!!! 😂😂😂Mke wa Lovness Tarimo AjitokezaTazama mpaka mwisho.
Hii nchi watu washaifanya kama chapati wanaigeuza wanavyotaka
Kumbe Loveness Tarimo ana mke canada na wana mtoto kabisa.. Huku kuja bongo katoroshwa na mzungu aolewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutafuta insta sikuoni 🤣🤣🤣