Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,551
- 95,140
Upewe tuzo 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee wee
Huku dar wenzenu tunakula mawig ya kuku
Upewe tuzo 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee wee
Ipo siku nitarudi mazima nyumbani , nishayachoka mahindi ya kuchoma na magimbi mwisho tambi limenitoka halibonyezekiView attachment 2817844
Bff mwenzio me haya ndyo mambo yangu napenda seafood kichizi
Nganiwa ndo nn?Nganiwa unawala??,
😋😋😋😍😍 ila hao prawns no 🤣View attachment 2817844
Bff mwenzio me haya ndyo mambo yangu napenda seafood kichizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan huyu ananinyima uhuru wallah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora upunguze
🤣🤣🤣🤣 Kamati tunaanzia laki 5 kima cha chiniKwa kupenda pesa weyee, utafia na kuzikwa bank.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji104]View attachment 2817844
Bff mwenzio me haya ndyo mambo yangu napenda seafood kichizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fungashia na miguu na utumbo.Upewe tuzo [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku dar wenzenu tunakula mawig ya kuku
Ni Hao,nilijua unawala, nilitaka nikugawe, na ukungu unaula??Nganiwa ndo nn?
Au unasema Mbuwila? Km ndo hivyo sili.
Hata M nshindwe nyie tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kamati tunaanzia laki 5 kima cha chini
Sao hao ni wadudu Jamani protini kabisa hiyo 😋😋View attachment 2817844
Bff mwenzio me haya ndyo mambo yangu napenda seafood kichizi
Kungu nakulaaa dyadyaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Ni Hao,nilijua unawala, nilitaka nikugawe, na ukungu unaula??
Tena hao nakula na ugali au ndizi mzuzu weee tamuuu😋😋😋😍😍 ila hao prawns no 🤣
NapendaaSao hao ni wadudu Jamani protini kabisa hiyo 😋😋
Si ndo hapo 😂😂😂Amebakiza uchebe tu 😅
Pale stesheni stand yupo ankali mmoja aanawekaga hz seafood yaani nafanyaga kupark kabisa Nile kwanza ndyo niendelee na safariSao hao ni wadudu Jamani protini kabisa hiyo 😋😋
Kuna mtu aliwapika na mchicha akatia na nazi wee nilimwambia asante 😂😂😂Tena hao nakula na ugali au ndizi mzuzu weee tamuuu
Nilijua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],nilitaka nishangae usiwale[emoji23][emoji23][emoji23],Kungu nakulaaa dyadyaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Tamuu balaaa
Pishi zuri sana hili niliwahi kula kwa buheti nikawa napika hivyo na mie geto watamuuuKuna mtu aliwapika na mchicha akatia na nazi wee nilimwambia asante 😂😂😂