Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Mr vocha umemficha wapi shouz
Atupe vocha majobless

Nimekumbuka shouz
Kiherehere chetu Cha kuziwahi vocha za Mjep kilifanya watu waugue presha

Jf Ina mambo hiii
Heri wanaochat na kumwaga mambo hadharani siyo wanafiki tunajua tu iko hivi
Kuliko hawa wa kujifichaficha
😂
 
  • Thanks
Reactions: 511

🤣🤣🤣🤣Makubwa
 
🤣🤣🤣🤣Makubwa
Kama wewe Auntie nadhani ndio ulichambwa sana maana ulikuwa mtandao mmoja na Bibie 🤣🤣🤣

Mimi tu pamoja na airtel yangu ambayo bibie alikuwa hatumii ila alininyamba huko.

Nasikia vocha zikawa zinamuumiza sana hadi akahisi pengine Mjep anataka kurusha nyavu.
😊,maskini kumbe baba wa watu roho yake ni Kusaidia tu majobless sisi.
 
  • Masikitiko
Reactions: 511
Wee baba acha kumuwehushaaa shouzzz angu,
Kwann usimuachee hata kidogo? Hata km yeye ame fall love kwako, hebu mfungie vioo,

Wee varangatii lote lile? Huna hata mshipa wa aibu wee mwanaume jamanii khaaah.
Sahivi uko na shouzzz, vipi wale vimada wako ulokutana nao ofisini na gym wanajisikiajeee?
, wee baba uwage hata na mshipa wa kujistukiaaa,
Mfyuuuuuuuh
Sasa kosa la mwamba ni lipi? Mbuzi kajielekeza kibla mwenyewe usipomchinja ni dharau. Wahuni hawakatai K wewe labda iwe imeoza. Ukiipeleka inapasuliwa tu.

Hamjui tu hamna kitu kinatupa furaha kama demu umempiga matukio yote ila hana mwendo kila ukimtaka ni simu moja tu huyu hapa, ni ufahari sana aisee.
Acheni mwamba ajipigie zake mautamu bila kutumia nguvu
 
Napenda utalii wa baharini na safari blue was my favorite
Yeah kuna maeneo mazuri ya kuvutia baharini, Umefanikiwa kutembelea maeneo gani mara ya mwisho tofauti na safari blue?

Pia usisahau kujaribu utalii wa train ,uta enjoy sana.
 
Yeah kuna maeneo mazuri ya kuvutia baharini, Umefanikiwa kutembelea maeneo gani mara ya mwisho tofauti na safari blue?

Pia usisahau kujaribu utalii wa train ,uta enjoy sana.
Maalum caves
Baraka aquarium
The rock
Hizi zote za zanzibar
Nje ya zenji nmeenda
Magoroto na saadan
Saadan nilienda na train it was good
Natamani kwenda mbeya via train
 
Sasa kosa la mwamba ni lipi? Mbuzi kajielekeza kibla mwenyewe usipomchinja ni dharau. Wahuni hawakatai K wewe labda iwe imeoza. Ukiipeleka inapasuliwa tu.

Hamjui tu hamna kitu kinatupa furaha kama demu umempiga matukio yote ila hana mwendo kila ukimtaka ni simu moja tu huyu hapa, ni ufahari sana aisee.
Acheni mwamba ajipigie zake mautamu bila kutumia nguvu

Weeee sema kweli!???🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭!

Ngachekaaa mimiiii🤣
 
Maalum caves
Baraka aquarium
The rock
Hizi zote za zanzibar
Nje ya zenji nmeenda
Magoroto na saadan
Saadan nilienda na train it was good
Natamani kwenda mbeya via train
Woow!Hongera sana,hadi mwezi February natamani niipite record yako ya utalii wa bahari hapo kwa list.

Pia sikuwa nafahamu saadan kama kuna train

Pia unaweza kufanya utalii wa train ..nakuhakikishia hautojutia.
IMG-20231227-WA0002.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom