Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,493
Aunt 🤣🤣🤣🤣Wee baba acha kumuwehushaaa shouzzz angu,
Kwann usimuachee hata kidogo? Hata km yeye ame fall love kwako, hebu mfungie vioo,
Wee varangatii lote lile? Huna hata mshipa wa aibu wee mwanaume jamanii khaaah.
Sahivi uko na shouzzz, vipi wale vimada wako ulokutana nao ofisini na gym wanajisikiajeee?
, wee baba uwage hata na mshipa wa kujistukiaaa,
Mfyuuuuuuuh
