Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Wizo mbavu zangu jmn
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
Huyi @St Anne ni mpana sana aweke orodha ya hao watu watu waende kwa kunyataπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hebu selfika basi Bossledi
Tuwaone ukiwa na mubebe mnakula bata
Kwani Dunia yetu hii?


Mkemia wetu wa kimataifa huna baya [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Anneee πŸ’
 
Jamanii nasikia kuna ubuyu hapa, maana nilikua buzzy na boxing, mara napewa in4 jf kumewaka selfika 2 imeanza drama za zaman, ndo huu winja winja, hebu mnijuze kulikoniiiii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!

Wakikujibu nitag 🀠🀠🀠🀠!

Uzi hautaki story huu nawakumbusha tu mieeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…