Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Si uwa mnatusema vibaya na hizo ankle chain? Mnasahau huku Kaskazini ni culture..
Nilikuwepo.. ngoja niendelee kulewa
View attachment 2853966
Nani hao wanasema vibaya..... 😁
Hii kitu kwangu haijawahi kuwa na shida hata siku moja zaidi ya urembo πŸ”₯
Inaonekana unajua sana mikato ya kijanja πŸ˜„πŸ”₯
 
Jamanii nasikia kuna ubuyu hapa, maana nilikua buzzy na boxing, mara napewa in4 jf kumewaka selfika 2 imeanza drama za zaman, ndo huu winja winja, hebu mnijuze kulikoniiiii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!
Mbavuuu Zangu mimiiiii Nacheka hadi bandama inakaukaaaaa!🀣🀣🀣🀣!

Anne πŸ’!
 
Hebu selfika basi Bossledi
Tuwaone ukiwa na mubebe mnakula bata
Kwani Dunia yetu hii?


Mkemia wetu wa kimataifa huna baya [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…