Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kweli nimekuza, jana nilipishana na mjukuu amevaa red hadi nikahisi ni wewe

Happy birthday Mjukuu, Mungu akupe maisha marefu uishi ukimtegemea yeye kama nilivyo Babu yenu hapa

Babu kijana

Heri ya krismasi

Karibu Tunduma
 
Babu kijana

Heri ya krismasi

Karibu Tunduma
Ulipotea sana Mkuu, hadi ukafanya niwaombe Interpol wanisaidie kukutafuta tujue ulipo.....

Baadaye nikapata habari kwamba ulifichwa na Yule Dada wa KiSouth 😅🙌

Ukija Town nicheki kiwanja chenu vijana cha Liquid Bar 🤗

Heri ya Krismasi kwako na Jamaa zako huko ulipo 🥂
 
#karibuni
20231225_153722.jpg
 
Kweli nimekuza, jana nilipishana na mjukuu amevaa red hadi nikahisi ni wewe 😜

Happy birthday Mjukuu, Mungu akupe maisha marefu uishi ukimtegemea yeye kama nilivyo Babu yenu hapa 🤗

🥂
😍🤣🤭🙏🙏 Asante babu
Marry Christmas

Ulipishana nae wapi babu? Usikute ni Mimi?🤣🤣🤣
 
Tayana-wog naomba uelewane na huyo kijana na kama sio huyo basi yule mwingine,mmalizane🤣

Sitaki kuona mkiishia kusifiana tu
Naona aibu mimi 🤣 na hata niliyokuambia last night hukutekeleza.
🤣🤣
Atume tu Hela
Tatizo vijana wa sikuhizi wanataka kutumia nguvu nyingi wakati miamala ikisoma tu Kila kitu kinakata sawa Lamomy voice
 
😍🤣🤭🙏🙏 Asante babu
Marry Christmas

Ulipishana nae wapi babu? Usikute ni Mimi?🤣🤣🤣
Ilikuwa kwenye Parking za Mlimani City, mlikuwa mnapita njia.

Walikuwa ni Wadada wawili wa Yesu kwa kuwaangalia, maana walikuwa wanaongea habari za Mbinguni.

Kama mnavyojua kwa umri wetu huu wa Uzee, hizo ndiyo stori hupenda kuzisikia maana wengi hatupendi kukosa ile safari ya unyakuo 🤗
 
🤣🤣🤣😍
Sawa Babu hizi siku 2 sijapita hapo

Na mpango wa kwenda movie leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom