Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

IMG_0085.jpg
 

View attachment 2842397kwenye swala la kupigilia mimi kwakweli nimepitwa sana na wakati... haya wale ambao mnapenda kutumia mitandao kwa kificho kazi kwenu...sina ninacho hofia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]​
Babeee wee ndo huyu? Nilijua wee ni tall, dark, n kauchebee.

Sasa daaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu mchapo nauhitaji bobo tena unisimulie kwa kituo, zile scene za maloveee ndio uzipeleke taratiiiiibu kwa kituo bila kuruka [emoji12]

Pole bff wangu raha zilikuzidia!!! Hiyo sio corona ni flu za mahaba hizo [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ilitakiwa shem azifyonze kwa mahaba zinaisha chap [emoji23][emoji23][emoji23]
Akisha kusimulia uje unigawie huo ubuyuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom