Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Halafu mdogo wangu kuna shida moja nimepata, unikumbuke kwenye maombi yako please!

Unitamkie kunyanyuliwa nina imani nitapokea!
Pole sana,
Ni shida gani hiyo?
If you're comfortable to share you're welcome,feel free...kabla wingu halijakata.
Kuna kaupako na kanguvu natembea nako hizi week 3 za fasting prayers.

Mungu aonaye sirini amesikia haja yako na atakujibu.
Ntakuweka kwenye maombi na Bwana atatenda naamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana,
Ni shida gani hiyo?
If you're comfortable to share you're welcome,feel free...
Kuna kaupako na kanguvu natembea nako hizi week 3 za fasting prayers.

Mungu aonaye sirini amesikia haja yako na atakujibu.
Ntakuweka kwenye maombi na Bwana atatenda naamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen napokea…. Sipo comfortable kushare kwa sasa, ila nitakwambia usijali.

Kama ulivyosema aonaye sirini ……. Na akapate kunitendea 🙏🏻
 
Ukiwa tayari karibu sana
Pm yangu ipo wazi.

Kwa imani tutaomba,Mungu anakujua vizuri na anajua shida zako maana pumzi yako ni taa yake,nayo yapeleleza yoote yaliyomo ndani yako.

Usiogope,tuombe kwa bidii, prayers works.
Pole sana
May the comfort of God be with you,it shall be well... you're in my prayers&will pray hard for you I promise 🙏.
 
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
1Wakorintho 10:13 “Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili”.
 
IMG-20230410-WA0005_1.jpg
kwenye swala la kupigilia mimi kwakweli nimepitwa sana na wakati... haya wale ambao mnapenda kutumia mitandao kwa kificho kazi kwenu...sina ninacho hofia🤣🤣🤣🤣​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom