Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

😂😂😂😂 halafu ww hushindwi!!
Weee!! Niambie koma!! E’m fanya chap unipe mchapo huo vizuri, huku ukisindikiza na mafoto ya vacay bff 🥰🥰🥰🥰
It was epic bfff....yaani si mchezo
Sasa nmerudi
Ghafla nmepata Corona moja amazing hapa nipo najifukiza 😪
 
Huu mchapo nauhitaji bobo tena unisimulie kwa kituo, zile scene za maloveee ndio uzipeleke taratiiiiibu kwa kituo bila kuruka 😜

Pole bff wangu raha zilikuzidia!!! Hiyo sio corona ni flu za mahaba hizo 🥰🥰🥰
Ilitakiwa shem azifyonze kwa mahaba zinaisha chap 😂😂😂
 
Raha zilikuwa nyingi simu ziliwekwa vindenge zikaachwa hukoooo ni mwendo wa kula raha tu kula kunywa ku dance 😇
 
Unajua kunirusha roho bff……..!!!
Hapa nawaza zile ndevu za shem zilivyokua zinatalii kwa ………!!! Jamani 😍😍😍😍
Bff umeweza!!!🙌
Gift zangu ziko wapi sasa?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom