Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

9ec69e4923cd4ad10accede39363d3c7.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaye treena dume lenye sifa zake haswa 🥰🥰🥰🥰
Mdogo angu coca niko kwenye penzi zito nimetekwa nikatekeka, huba limekolea nazi!👌
Hivi ushawahi kupapaswa kwa SAUTI?! Basi huyu shem wako ana sauti zito lenye ujazo la kiume liko so romantic🥰🥰, akiongea kwa bibi kunaloa!!
Kachukua sauti za ukoo mzima, sijawahi ku-experience before!! Mungu kaumba, mama mkwe kazaa?! Nyie sijui walipiga style gani wakati wanamtafuta huyu kiumbe?! Mbona wameleta balaa!! Nishaanza kuongea peke yangu na kujijibu mwenyewe njiani 😂😂😂

Kwanza nimekumbuka hivi tulisema mwanaume asiye na hela tuachane naye?
Me naomba mnitoe sio kwa mwanaume huyu hata mia yake siitaki!!! Mwambie sisy Joannah narudisha kadi. Kuanzia leo sio mwanachama wa money first 🤣🤣🤣
Halafu mlisema hakuna kuzaa bila ndoa?! Hapana siko pamoja na nyie, huyu namzalia mapema sana sio kwa raha hizi 🤸‍♀️😜
Naomba upokonywe simu....wewe sio wa kukataa hela hata siku moja itakuwa umekosea kutype 🤣
 
Hapo sawa....khaaa ningeshangaa ukatae hela wewe labda kama sio mkinga
🤣🤣🤣🤣 Ningetengwa na ukoo mzima mpk ma bff wote!!
Sijakuona kitambo, nikajua safari imekwiva ya kwa shem anayegonga ngeli tamu JF nzima 😜🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
🤣🤣🤣🤣 Ningetengwa na ukoo mzima mpk ma bff wote!!
Sijakuona kitambo, nikajua safari imekwiva ya kwa shem anayegonga ngeli tamu JF nzima 😜🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Ndyo nilikuwa nataka nikublock hapa....
Nilienda Ile vacation ndyo nmerudi hapa napambana na hali yangu
 
Ndyo nilikuwa nataka nikublock hapa....
Nilienda Ile vacation ndyo nmerudi hapa napambana na hali yangu
😂😂😂😂 halafu ww hushindwi!!
Weee!! Niambie koma!! E’m fanya chap unipe mchapo huo vizuri, huku ukisindikiza na mafoto ya vacay bff 🥰🥰🥰🥰
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom