Masihara boss acha hizo🤣Wewe ndiyo boss mkubwa au Tayana-wog unasrmaje?
Yaani vitu vya kuona baby wangu niweke hapa😅Mguu huo
Umesoma shule za masurualiYaani vitu vya kuona baby wangu niweke hapa😅
Mi mwili wangu utuona kwenye nguo tu,vitu vyote vinasitiriwa kwa ajili ya mume wangu
Sina mwili wa maonyesho🤣
Kwann?Umesoma shule za masuruali
NdioKwann?
Nishakupa jibu hayo mengine yako tu!
Nisome za suruali kivipi?
Kwani ndo zingenizuia kuvaa skert?
Mbona umekuja unapiga sarakasi...usalama upo kweli bffBff 😍
Tupia foto baby wa nyani ngabu 🤸♀️
Wewe tupia tu mwache abinukeMbona umekuja unapiga sarakasi...usalama upo kweli bff
Ngoja nikavaeWewe tupia tu mwache abinuke
HaaNgoja nikavae
Kweli Mungu kaumba
Ardhi na vyote vilivyomo!😇Kweli Mungu kaumba
Na maua yake, kama ninyiArdhi na vyote vilivyomo!😇
No navaa vyovyoteNdio
Samahani, sisi wazee tunaomba tukue maana ya BFFMbona umekuja unapiga sarakasi...usalama upo kweli bff
Viatu vya mchawi mstaafu wa Kilingeni msata.
Nini maana ya BFF?Katibu ,chawa,mshika pochi ya tajiri🤣🤣🤣 Lamomy