Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Usidanganyike!!!🤓Halafu bado kabichi haka ka Dr Lizzy aisee. Me nimepagawa hapo kifuani balaa
Usidanganyike!!!🤓Halafu bado kabichi haka ka Dr Lizzy aisee. Me nimepagawa hapo kifuani balaa
Asante mpenzi! ☺️☺️😍😍😍 Unaishi pazuri dada. Picha zako zinakuwa kwenye mazingira yenye hadhi. Halafu na wewe una hadhi ya juu. Nakupenda sis
Ngozi nyororo nyororoUsidanganyike!!!🤓
Nionyeshe mfano! 😶🌫️Alafu apost 🤳 kuibless mchana akiwa hajaweka emoj yoyote😋
Ni filter tu 🥴Ngozi nyororo nyororo
Mtani unataka kuchukua nyota nn???🤣🤣🤣Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!
Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!
Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza!
Hebu tupia ulichovaa leo iwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote ule..
Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sanaView attachment 2817216
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2817248
Weka chap nione mwenyeweNionyeshe mfano! 😶🌫️
Hii hapa 😎Weka chap nione mwenyewe
nikajuage we chalii kumbe mzee babaView attachment 2838553
Super Sunday
MuoneHii hapa 😎
Age imeendanikajuage we chalii kumbe mzee baba
msalimie mamilooAge imeenda
Hajui hata username yangu ya jfmsalimie mamiloo
Siku hizi sichukui nyota mtani nachukua vivuliMtani unataka kuchukua nyota nn???![]()

Mtani wewe dawa yako tukuozeshe mke wa pili utulie 🤣🤣🤣😂
Na una visu
Mtani wewe dawa yako tukuozeshe mke wa pili utulie![]()


nina moyo mmoja tu mtani na nimeshamkabidhi mtu, huyo wa pili nitamuweka wapi?
Hahahah nabarizi tu kilingeni Msata nimeacha yote ya ulimwengu huuNa una visu
NGOJA UPATE KIINUA MGONGO HUKO KWENYE CHAMA CHENU TUONE UKWELI WA MANENO YAKO MTANI 🤣🤣🤣nina moyo mmoja tu mtani na nimeshamkabidhi mtu, huyo wa pili nitamuweka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda utasemaNGOJA UPATE KIINUA MGONGO HUKO KWENYE CHAMA CHENU TUONE UKWELI WA MANENO YAKO MTANI![]()
