Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,076
- 859,168
- Thread starter
- #4,481
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi viatu imekaa kigangaganga [emoji23]
Mungu wetu sote[emoji134]
bro utakua unafaidi asian punani
bro utakua unafaidi asian punani
😁😁Mungu wetu sote[emoji134]
Viatu vya mchawi hivyo.
aiseeMama la mama cocastic Tayana-wog hivi nikiweka breach chogo langu ntapendeza kweli?
Evening wapendwa!
Usiweke mirangi aiseeMama la mama cocastic Tayana-wog hivi nikiweka breach chogo langu ntapendeza kweli?
Evening wapendwa!
Hahaa Siweziii!Usiweke mirangi aisee
Yaani wanaoweka blichi naona kama vibaka Fulani😂Hahaa Siweziii!
#Handsome wa Mwandiga! Wapii cocaaa!
Huwa wanachukuliwa kundi moja na wavaa vikuku sijui vipini wachora tattoo🤠!Yaani wanaoweka blichi naona kama vibaka Fulani😂