Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Tupia Kama wanavotupia wengine!Mm sina chakutupia
Tupia Kama wanavotupia wengine!Mm sina chakutupia
Dah uko fastaaaa, unaacha acha hata nusu saaNimefuta mpendwa
Kweli kabisa..!Mbona wengine tunatupia vitambi vyetu na hatujare wala neneeee !
Acha wogaaa!
Hio Haizuiii kula ujanaa tena ndo vizuri kutengeneza njia kila leooo ikifika muda wa kushusha ni dakika sifuri shwaaaaa🤠🤠🤠!Woiii mwaka huu nilitaka nile ujana ila ndo hivyo imetokea neema😊
Kazi yake ni kusave pics za watu sijui anataka kufungua photo studioTupia Kama wanavotupia wengine!

Nimewakimbia wazee wa sceenshort kisha kusambaza kwenye group😁😁😁Dah uko fastaaaa, unaacha acha hata nusu saa
Huwezi kufa bado kijana sana ! Kemea roho ya mauti IJN!Kweli kabisa..!
Itabidi nikuwekee bila editing or emoj hata siku ikitokea nimetangulia mbele za haki ,ubaki na ukumbusho.
Hii mimi imenichosha jamanii huwezi amini hata kuingia Jf kwa sasa naona tabu ni kulala tu kama pono😁Hio Haizuiii kula ujanaa tena ndo vizuri kutengeneza njia kila leooo ikifika muda wa kushusha ni dakika sifuri shwaaaaa🤠🤠🤠!
Humu Ndoivoo yani watu wanasevu for further use! Hatari sana!Kazi yake ni kusave pics za watu sijui anataka kufungua photo studio![]()
Toooba kumbe kuna kusambazwa kwenye group,Nimewakimbia wazee wa sceenshort kisha kusambaza kwenye group![]()
Nyie mmenitisha ngoja nifute harakaaaaaHumu Ndoivoo yani watu wanasevu for further use! Hatari sana!

Hahahaha, mie tayari ndio muasisiTupia Kama wanavotupia wengine!
Mbona umechoka mapema doh!! Hongera na pole!Hii mimi imenichosha jamanii huwezi amini hata kuingia Jf kwa sasa naona tabu ni kulala tu kama pono😁
Amen rafiki!Huwezi kufa bado kijana sana ! Kemea roho ya mauti IJN!
Amen!
Muasisi mwenyewe mshana anatupia tena midamida naked kabisa!Hahahaha, mie tayari ndio muasisi
Amen rafiki!
Lakini hii sehemu naingia now huwa inanitia hofu kila ikitokea,ukisikia LPG imelipuka Tz bhas anza kushusha kilio.
Niliona moja umetupia raba na soksi unapata moja moto moja baridi!!Hahahaha, mie tayari ndio muasisi
Ndiomana unaona wengine wanatupia chap na kufutaNyie mmenitisha ngoja nifute harakaaaaa![]()
ShukraniiiiSheendwa Huwezi kufa IJN !