Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,942
Wewe mpe tutajua sisi jinsi ya kupeana 😜Mzigo atakupatia vipi nikimpatia?
Kwahiyo nijilinde kwa kumfungulia uzi tena?🤣 alaf
Wifi yako leo hajaenda kazini anaumwa na hospital hataki kwenda anahofia sindano(nahisi kamiss tu sindano isiyoumiza) na naona hali ya hewa yenu hapa inaumiza tu muda wote hata huyu ninaemsubiri na lugha yake ngumu naona hii meeting haitoenda.
Hakikisha mzigo wa kueleweka sasa!!
Sindano ulizomdunga zimeanza kuleta matokeo mapema mbona?!!! 🤣🤣🤣
