MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,735
- 11,341
yani uyo nyau kakaba kila konaUnaombewa mabaya ila hujatuambia je ni kweli unamiliki usimzibie riziki
yani uyo nyau kakaba kila konaUnaombewa mabaya ila hujatuambia je ni kweli unamiliki usimzibie riziki
Hapo tecno inakutoa hivo je ingekua IPhone???Hapana sio kweli mkuu! Hiki ki tecno mi hata sikielewi kinanitoa mwili sio wangu![]()


!Na Leo waendelee naile kasi ya jana ! Ila waweke zao halisiJana ulikuwa moto sana 5G. Lkn nikagundua napambana na Anonymous persons.
Zinawekwa sura hatari hutuki kama hu boost na vumbi la Congo.
Halafu kukawa na mvua umeme ukakata. Yaani. PM wamebana. Sasa kwa shangazi utaishia kuona online tu.
Kuna avatar za kike humu balaa.
Ndio unatoa na maneno ya kashfa rafiki?🤣yani uyo nyau kakaba kila kona
😂😂😂 wii ss hivi umeadimika mno😂😂Mwambie arudie mm sijaonaila Wii wewe kiboko 😂😂
dawa yako ndogo sana, surrender mapema 😂😂Ndio unatoa na maneno ya kashfa rafiki?🤣
Usijali utapatiwa hata Tayana-wog ,maua,Faiza.
🤸♀️ UhakikaWe sema ulikiamkia banaa
Muhimu kufanya maombi udugu 😊😊Mama mchungaji kazini! Kweli roho wa bwana anena nawe☺️!
ShingoChat na picha








Aiseeeh kumbe niko kwenye mapambano na jinsia zote🤣dawa yako ndogo sana, surrender mapema 😂😂
Pm si umefunga 😂😂😂Matajiri weee mbona sijawaona jamani
Umetishaaa uduguuu . wee Peponi Moja kwa Mojaaa🤠Muhimu kufanya maombi udugu 😊😊
Wee hivo vyote umeviona wapi mkuu?? Acha kunijaza sifa nisizokua nazo basi!Shingo
Lips
Kifua
Kisura
Ka rangi
Shepu
Bosiledi wewe ni lizuri!
Usinisahau kwenye maombi pia kaka yako.Muhimu kufanya maombi udugu 😊😊
Mchawi mpe sifa zake!Wee hivo vyote umeviona wapi mkuu?? Acha kunijaza sifa nisizokua nazo basi!
Hizi joined 2023!






Hongereni jamani, Dar joto na hata mvua ikinyesha hakuna baridi 🥲Mwanza Baridi nimevaa sweta kabisa na nimepata flue
Umependeza![]()
Fanya friday ukuje tupeana kifurush cha asubuhWee hapanaa![]()