Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kwanza kaka tuachane na hayo wifi umempa mzigo wangu??
Afu mpk muda huu unasubiri nini kumuanzishia wifi uzi wa kumsifia?!!
Watakupora shauri yako 😂😂😂😂
Mzigo atakupatia vipi nikimpatia?


Kwahiyo nijilinde kwa kumfungulia uzi tena?🤣 alaf
Wifi yako leo hajaenda kazini anaumwa na hospital hataki kwenda anahofia sindano(nahisi kamiss tu sindano isiyoumiza) na naona hali ya hewa yenu hapa inaumiza tu muda wote hata huyu ninaemsubiri na lugha yake ngumu naona hii meeting haitoenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom