Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,551
- 95,150
Sawa wifi uniletee na nguo zako ambazo umezichoka, mana wewe siku hizi unavaa brand tyuu!! 😂😂😂😂Sawa sawa Kuna ndege za jion naweza ibukia hapo😂😂😂
Sawa wifi uniletee na nguo zako ambazo umezichoka, mana wewe siku hizi unavaa brand tyuu!! 😂😂😂😂Sawa sawa Kuna ndege za jion naweza ibukia hapo😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Sawa wifi uniletee na nguo zako ambazo umezichoka, mana wewe siku hizi unavaa brand tyuu!! 😂😂😂😂
Woiiii 😍😍😍😍
Wifi tupia foto za sauzi🤣🤣🤣🤣
Hawezi kabisa 😂😂😂😂Woiiii 😍😍😍😍
Mke wa kaka huyo jamani
Kaka usije kuuza vibanda vyetu vya Ulisi puliiiz
Kwa hekaheka hizo atauza na kila kilichomo ndani 😂😂😂Hawezi kabisa 😂😂😂😂
Rudia trudie sijaona jamani 😔😔😔Rain rain go away ....wednesday
Nina picha nilokuwa nagombna na konda anipe mia tanoyngu 😂😂😂😂za south badae🤣🤣🤣Wifi tupia foto za sauzi
🤣🤣🤣🤣 hatareeeeNina picha nilokuwa nagombna na konda anipe mia tanoyngu 😂😂😂😂za south badae🤣🤣🤣
Naona umepona hadi nguvu ya ku selfika umepata sasa mama?Hawezi kabisa 😂😂😂😂
Tupia hata za zamani buanaSina mpyaaa kipenzi!
Kabisa uduguuu blah blah nyingi zitafanya uzi ufungwe!Tupieni pic tupieni pic lovers maneno kidogo😂😂😂😂
Wee tunatosha tupia😂Mkifika kumi humu mseme nitupie foto yangu na Kantry 😜