Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 4,636
- 15,249
Thank u Aaliyyah, tupia maphoto jamaniUmependeza
Thank u Aaliyyah, tupia maphoto jamaniUmependeza
Fanya friday ukuje tupeana kifurush cha asubuhWee hapanaa![]()
Santeeee shouga ake cocasticNougaaa sanaa!
simu moja tu apo unaanza kufakufa 😂Aiseeeh kumbe niko kwenye mapambano na jinsia zote🤣
Hadi jinsia "ke" wanamtamani...!!
Sasa mlikuwa wapi siku zote hizo
Mchawi mpe sifa zake!
Unabamba na upo real!
Chukua maua yako![]()
Pm si umefunga
Wenzio jana miamala ilkuwa inagongana!!
Hongereni jamani, Dar joto na hata mvua ikinyesha hakuna baridi 🥲
Ili umrithi ?🤣simu moja tu apo unaanza kufakufa 😂
We Tulia usitake kujua mbinu za adui🤣Ili umrithi ?🤣
Utaua mtu usiyemfahamu sasa..! Huko kwa mtaalam utapeleka hizi "words" nacharaza?
Asante rafiki,niko jirani yako hapa nasubiri nipatiwe changu nami nijaze tumbo.View attachment 2821612
Njoon tule
Usisahau picha tuAsante rafiki,niko jirani yako hapa nasubiri nipatiwe changu nami nijaze tumbo.
Nilivo na ubao hapaa nimetamani huo ugali kuku😋😋🤠!View attachment 2821612
Njoon tule
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!!!Usisahau picha tu
Wait niwazoom in labda nitawapata kiurahisi nikuthibitishie kwa pic.Usisahau picha tu
Natania tu ila Niko kwa mama ntilie nje, nasubiri nileteweNakaziaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Looking great!View attachment 2821612
Njoon tule

Anitumie lipa namba chap nisababisheMtumie hata laki tano afurahie
Kwan south Africa nimerudi Wii?😂😂😂😂😂😂 wii ss hivi umeadimika mno