Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Safi sanaa😍Nilimka kusali usiku bhana 😂😂😂
Safi sanaa😍Nilimka kusali usiku bhana 😂😂😂
Imelainikaa 🔥🔥🔥🔥Kuku imeiva
Kwani bado ndugu yako hajakata tamaa😂?Unaombewa mabaya ila hujatuambia je ni kweli unamiliki usimzibie riziki
Bishoo tena? Wewe mwanamke unanikosea Bwana harusi mtarajiwa🤣Tena navoyapenda sasa!
Zulu man anaonekana bishoo ndio namwambia atupie tu!
Sie tunauliza katoa mahari?au anajilia bure tuKwani bado ndugu yangu hajakata tamaa😂?
hamuendani ata kidogo, badili channel 😂Mbona unatuombea mabaya jamani😂
Namchana ukweli tatizo lake mbishi kama mwenzieMfalme unanifurahisha![]()
Sijakupatia wedding Invit. card?Sie tunauliza katoa mahari?au anajilia bure tu
Ndio utupie sasa kumbe sio bishonga safii hioo 🤠!Bishoo tena? Wewe mwanamke unanikosea Bwana harusi mtarajiwa🤣
Alaf mimi mkulima ndio shughuli zangu hizo,nikiwa kijijini kwangu nalima napeleka sokoni na ndio mboga yangu kila siku.
Unataka uchukue nafasi yake?🤣hamuendani ata kidogo, badili channel 😂
Wedding fyokofyoko.!!Sijakupatia wedding Invit. card?
Labda tamaa ndo ikatike 😂Kwani bado ndugu yangu hajakata tamaa😂?
Ohoooh !naona mnaanza kunichukulia kama yule kijana...Wedding fyokofyoko.!!
Yeah usijali yakiwa tayari tu nayaweka hapa matembele,Ndio utupie sasa kumbe sio bishonga safii hioo 🤠!
Mi mwenyewe nayapenda sana matembele!
Nipatie harakaSijakupatia wedding Invit. card?
Hiyo ni Siri ya familia😂Sie tunauliza katoa mahari?au anajilia bure tu