Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,097
- 41,716
Makubwa🤣.kwamba harusi Ina vigezo vya muonekano🤣 niko nafanya tafiti ya watu wa kufika kwenye harusi yangu
Bado wewe kuona vizuri rafiki😉
Makubwa🤣.kwamba harusi Ina vigezo vya muonekano🤣 niko nafanya tafiti ya watu wa kufika kwenye harusi yangu
Bado wewe kuona vizuri rafiki😉
🤣🤣🤣😂🤣Seconded
Imeisha. Deal done. Voted. [emoji2089][emoji2089][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Tupo ila camera zimegoma 😂😂😂Wale portable mko wapi
Tujuane hapaaa Kwa selfie 🤳🤳🤳
🤣
Kabisa,mke mtarajiwa lazima apate challenge kidogo sio aonekane yeye mrembo pekee kuwashinda.Makubwa🤣.kwamba harusi Ina vigezo vya muonekano
Dr upo vizuri 😍😍😍😍
Mambo yasiwe mengi 😂😂😂Imeisha. Deal done. Voted. [emoji2089][emoji2089]
Mama Jr leo unatukomesha 😍😍😍
Aacha mbwembwe. Tumeumbwa kugharamia[emoji23][emoji23]Mambo yasiwe mengi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi si ndiomana nimesema kazi kwenu matajiri mfanye mambo, mama mchungaji avae boot hizo 😂😂😂Aacha mbwembwe. Tumeumbwa kugharamia[emoji23][emoji23]
Tumpe muda . Watu tuweke salioMimi si ndiomana nimesema kazi kwenu matajiri mfanye mambo, mama mchungaji avae boot hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Tayana-wog huyu mdau humuoni au kusudi? 😂😂😂Tumpe muda . Watu tuweke salio
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Tayana-wog huyu mdau humuoni au kusudi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpe lipa namba au boot tyr ushapata??
Atakayewahi ndo mshindi 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba napiga mluzi ili afeli yule mdau?!!.