Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,149
- 43,094
Anza kutupia weweMbona watu hamtupii picha badala yake mnastorika tuu?? 😀
Anza kutupia weweMbona watu hamtupii picha badala yake mnastorika tuu?? 😀
Ngoja nitupie ya cousin wangu mmoja hivi 😂😂😂Sawa uduguuu nasubiria hapa kipenzi!
Fanya hivoo nisafishe macho udugu!Ngoja nitupie ya cousin wangu mmoja hivi 😂😂😂
Tyr ila naifuta fasta asije kuwa member humu 😂😂😂Fanya hivoo nisafishe macho udugu!
Bro🤒How much![]()
Pandisha camera juu 😜
Ili ugundue nini?Pandisha camera juu 😜
Jamani humu ndani kumbe wanaume wazuri hivi 😍😍😍😍
Tujue miguu inaendana na kichwa 😂😂😂Ili ugundue nini?
😁Kaka mdogo hutaki mambo mengi unapita naked 😂😂😂
Uko vizuri sana
😉 Sitoi😀Jamani humu ndani kumbe wanaume wazuri hivi 😍😍😍😍
Embu toa bas huo uchafu hapo juu tuangalie uumbaji wa Mungu😜
Kichwa kipi sasa mbona unaanza kunichanganya🙆Tujue miguu inaendana na kichwa 😂😂😂
Nimekukubali sana dogo big up!!!😁
sasa kwanini nijifiche
Bro weka acha kujizungushaDah Ume nikumbusha, I missed kuona unywele😁😁😝🤗
Kilichobeba mwili!!Kichwa kipi sasa mbona unaanza kunichanganya🙆
Toa bhana 😂😂😂😉 Sitoi😀
hapa wana jf wananichora tu siku nikijichanganya watatumia picha yangu kama fimbo ya kunichapia😁Nimekukubali sana dogo big up!!!
Hebu tubless nyingine 😂😂😂
Viwili sisterKilichobeba mwili!!
Kwan una vichwa vingapi bro?? 😂😂😂